Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.

Dada ushauri wako mzuri sana
Ila weekend Arsenal EPL na Real Madrid la Liga wanacheza dah
 
Kumuelisha chizi nkujipa kazi!wanawake hamuishiwi kelele.
 
We njoo kwangu tu...Mie sio mzururaji so tutaenda sawa ila usije kusema nakuboa tena kwa kuwepo around maana ntakwa nakupiga pipe kila chombo kikienda mnara!
 
Yaani niache kwenda kucheki epl au kuiona Yanga yangu nikiwa na washkaji nikae ndani!!tunapenda kukaa na nyie lakini not to that extent,hamkawii kuzingua
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.

Ila kweli wanawake mpo na kazi, wakati we unalia upweke kuna mwenzio analalamika eti napenda kushinda nyumbani baada ya shughuli zangu. Na kweli huwa nikiingia mjengoni sitokagi labda kuwe na ishu urgent ila sio safari zisizo na mpangilio. Sinywi bia na sipendi mpira pia so nikitulia ni kwenye internet, music ama movies.
 
Acha nikajumuike na washkaji zangu bhana hayo masaa yanayobaki kwani hayatoshi kubadilishana mawazo
 
Too much of any thing is mbaya.... Kwa kurudi saa 8 usiku kisa kubadilishana mawazo nakushauri mulika mwizi hapo mbivu zako zinaibiwa.... Ila wakati mwingine baadhi ya wanawake mpunguze wivu hadi mnafanya baadhi yetu malofa... Think mwanaume anashindwa hata kuomba udhuru kwa sababu akifika home mke kanuna kama kala ndimu...This is among of things boring most in marriages
 
......huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako
🙂🙂🙂🙂🙂🙂 hatari pale kwenye lango la Simba
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Je?sisi ambao hatujaoa unatuhukum vipi
 
Kushinda sana Nyumbani Huchelewi kutumwa sahani ama ukaambiwa kukuna nazi. Nipo tayari kushinda home ila simu yangu ibaki kuwa yangu
 
Back
Top Bottom