Umemsikia Robert Mugabe!?

Umemsikia Robert Mugabe!?

tenanzo2012

New Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
3
Reaction score
15
Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC alimuliza swali Rais Robert Mugabe wa nchini Zimbabwe baada ya kushinda kwa mara ya sita uchaguz mkuu wa nchini mwake mwezi uliopita,
Mr President dont you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe akamjibu:Have you ever asked Queen Elizabeth this Question or it is just for African leaders?
 
Afrika tungekuwa na majembe 5 kama hili hakika wazungu wangeufyata! Lakini sasa hivi jembe liko peke yake maskini! Wengine wote walamba viatu tu!
 
Kiongoz Pekee wa Afrka aliebaki, wengine ni Ma Rais Magavana wanaowakilisha Maslah ya wazungu!
 
NI KWAKUWA HAKUNA CHA MAANA ZAIDI ZIMBABWE ZAIDI YA MASHAMBA NA V2 VIDOGOVIDOGO KAMA ILIVYO TZ.WAZUNGU WANGEKUWA WAMESHAMNG'OA MADARAKANI BT MASLAHI KWA WAZUNGU HAKUNA. ANGALIA NCHI ZENYE MALI WANAVYOINGILIA(iraki,libya,iran nk)INAWEZEKANA MISRI KUNA MKONO WAO
 
The American said, "We were the first on the
moon!"
Mugabe said, "So what, we're going to be
the first on the sun!"
The Russian and the American looked at each
other and shook their heads. "You can't land
on the sun, you idiot! You'll burn up!" said the
Russian.
To which the Mugabe replied, "We're not
stupid, you know. we're going at night!"
 
Ninyi mnaosema mugabe jembe, kichwa n.k mnaelewa tofauti kati ya malkia na rais?
 
Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC alimuliza swali Rais Robert Mugabe wa nchini Zimbabwe baada ya kushinda kwa mara ya sita uchaguz mkuu wa nchini mwake mwezi uliopita,
Mr President dont you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe akamjibu:Have you ever asked Queen Elizabeth this Question or it is just for African leaders?

jibu mujarabu kwa muda muafaka pia kwa mtu sahihi
 
Back
Top Bottom