Umemsikia Robert Mugabe!?

Umemsikia Robert Mugabe!?

Good answer - nakumbuka waingereza walimuuliza swali hilo hili Muammar Gaddafi; akawajibu hivyo hivyo, baadaye wakampoteza. Yule Mzee ni moja ya watawala wachache wenye msimamo thabiti ktk hili bara.
 
Hakuna Dikteta Africa ila Madikteta wanapatikana Ulaya na Marekani![/QUOTE

kwa hiyo hawa waafrika marais ambao wanataka kufia ikulu wanaitwaje?

Hao wanaotaka maraisi wanaotaka kufia ikulu wanaitwa wakombozi na watetezi wa haki! Kwa hiyo wewe ukiambiwa umtaje Rais Dikteta utamtaja Mugabe?
 
Back
Top Bottom