Zimbabwe: Kiongozi wa Chama cha Upinzani afungwa miaka 4 kwa kuitisha Maandamano

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
Jacob-Ngarivhume-e1620141971983.jpg

Mahakama Nchini Zimbabwe imetoa hukumu hiyo dhidi ya Jacob Ngarivhume kutoka Chama cha Transform Zimbabwe kwa kuitisha Maandamano ya kupinga Serikali.

Ngarivhume alikamatwa Julai 2020 baada ya kuitisha Maandamano dhidi ya Rushwa na Kudorora kwa Uchumi huku kukiwa na zuio la Polisi waliodai kuwa yanachangia Usambaaji wa Virusi vya UVIKO-19.

Serikali ya Zimbabwe imekuwa ikishutumiwa kwa kutumia Sheria ngumu kukandamiza uhuru wa Kujieleza nchini humo tangu utawala wa Hayati Robert Mugabe.

===============

A Harare magistrate has jailed the leader of a small opposition party for his role in calling for anti-government protests three years ago.

Jacob Ngarivhume of the Transform Zimbabwe was sentenced to four years in jail with 12 months suspended. Magistrate Feresi Chakanyanya said a fine or suspended sentence would have trivialised the offence of inciting the public to commit violence.

Ngarivhume was arrested in July 2020 for calling for protests against corruption and deepening economic woes.

Police banned the protests citing coronavirus restrictions and arrested several government critics - including internationally acclaimed author Tsitsi Dangarembga for holding up protest placards on the roadside in her neighbourhood.

Earlier this year, Dangarembga was found guilty of inciting violence, but given the option of a fine.

Ngarivhume will appeal against both his conviction and sentence.

The Zimbabwe government has been accused of using the law to suppress freedom of speech in the country.

BBC
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom