Nimemsave battery low!
charge empty
sijamsevu jina maana namba yake naijua kwa kichwa, ila yule wa pembeni mshiriki mwenza nimemsevu KFC
Nimesave kwa majina: kakobe, mzee wa upako, mwingira, gamanywa, pengo na kilaini. Mke wangu akiyaona hayo majina anafurahi kuwa nawasiliana na watumishi wa bwana.
. . . I see!
Hahahahahahaaaaa...haya mambo ya simu acha tu mke mwenza,yana vijimambo
simu ikiita haionyeshi namba wala jina coz nimeweka nukta.Hapo kwenye blue kwa nini?