Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Wife......
khaaah...Wewe naona unataka kufanywa kama Ufoo...
anakusave hivyo ukiwa nae...akienda kwa mwngne anakusave fundi viatuKanisevu "wife"
Teh mi nimemsave kwa jina lake then small house nimewasave 'Afande P'..Engineer F...Beeper...unknown
nimewasave hivi rpc mwanza, rpc kigoma, rpc msoma, ocd nyamagana, ocd kinondoni, ocd temeke, ocd kibaha, hapo utakuwa huru
kaka,nilijua ndo mwisho wa kila kitu,cha ajabu huu ni mwaka wa 4 bado ananifatilia!!!!
vitu km sms,cals na kibaya zaid sijui katoa wapi email yangu!km hatukua na tofauti vileanakufuatilia????
aloo kumbe uko na huku..?
samahani ckujua ilo aise
Surname yake yatosha sana!!mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.