Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

Namba yake ya voda nimesave"Phone calling",ya tigo,"Simu inaita" ile ya airtel "Receive Message"
 
nimemsevu 'low betri' afu na kamlio nimemchagulia kakizushi, then sim ikiita wife akiona huwa ananiwekea kwenye chaja anajua ni kweli low betri kumbe kidosho
this is good. can I try to apply the same technique? Maana wife kila simu ikiita anataka kufahamu ni nani anapiga? give some advice......
 
this is good. can I try to apply the same technique? Maana wife kila simu ikiita anataka kufahamu ni nani anapiga? give some advice......

lAKINI MSIMILIKI BASTOLA MSIJE MKAJIUA SIKU MOJA MAANA MTENDA HUTENDWA.
 
mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.
hahahah lazima atakuua tu huyu hawezi kukuacha,chukua zawadi ya nyimbo hii.

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom