Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

nimemsevu 'low betri' afu na kamlio nimemchagulia kakizushi, then sim ikiita wife akiona huwa ananiwekea kwenye chaja anajua ni kweli low betri kumbe kidosho

dah!unatisha..
 
mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.
hahahaaaa... hii kali sana aiseee
 
KAMUGISHA UMEUA loll..ati RPC Mwanza, RPC KIGOMA..unatisha wewe.
 
nimecheka mpaka watu wameniona chiz fulan, cyo vizur wanaume wabaya sana mtaunguzwz jehanum na mshahara ni hapa dunian
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom