Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.

Katavi, siku nzima sijacheka, ila baada ya kufungua uzi huu nimecheka mpaka mdada wa hapa kaunta kauliza kunani? Nimemtupia bonge la tabasamu sijamjibu! Nadhani anafikiri Ndovu imeanza kusafiri ktika damu!
 
nimewasave hivi rpc mwanza, rpc kigoma, rpc msoma, ocd nyamagana, ocd kinondoni, ocd temeke, ocd kibaha, hapo utakuwa huru

Mkuu we pia askari nini? Au kazi yako inahusina na maaskari. Maana kama siyo askari na kazi haihusiani na maaskari kwa nini kila ukipigiwa yatokee hayo majina ya Maafande.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected

Nime msave
Shangazi wa Iringa,
Dada wa Mwanza au ndugu yangu yeyote nabadili majina. Kama kuna ndugu yangu mahala popote namsave kwa jina lake nikiwa naongea naye lazima hofu hakuna.
 
nimewasave hivi rpc mwanza, rpc kigoma, rpc msoma, ocd nyamagana, ocd kinondoni, ocd temeke, ocd kibaha, hapo utakuwa huru

...hahaa, mara limetokea tatizo la kiusalama na achukue simu kuongea na mmojawapo wa ma"rpc" au "ocd"!
 
mnanifurahisha kumbukeni mwisho wa siku malipo ni kwa mungu na adhabu yake utaijua huko huko.... so unajidanganya mwenywe tu
 
Wife nimemsave kama wife ila hizi nyumba ndogo nimewasave kama vile bandidu, mtu pori, shemeji, brother p ila nakuaga makini ninapokutana nao. Huyo ninaekutana nae namsave kwa jina la kimahaba . Ila huu sio mchezo mzuri
 
Back
Top Bottom