the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 834
- 1,103
Mkali wangu wakati watanzania tuna lala masaa nane eti tumepumzika wenzetu wana kesha lab wakiumiza vichwa kufanya ufumbuzi. Umeme wa wireless upo na upo very safe ila mbinu walizo tumia ni sawa tu naza lumia wireless charging. Ila mfumo wake upo tofauti taa zake ni LED na zina ambatana ni vifaa vyake. Ila mfumo mzma wa wireless umeme ni mambo ya electromagnetism. Ingia mtandaoni chc documentaries bro. Kwasababu m mwenyewe sija pigiwa stry ila nilichc kweny kipindi channel Discovery tena mwaka jana. So jaribu kupita net kwa maelezo zaidi
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums