Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Huko America, Japan, German na UK wameshindwa toka wameanza tumia umeme zamani sana.
Hata huyu jamaa wa kukopi ma kupesti kashindwa leo hii eti umeme wireless
 
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.

Na wewe kwa rkimu yako ya chuo umeshindwa kugundua kwamba inawezekana na tafiti zinaendela?
 
Wewe mutoa post Usiwadanganye watanzania. Kuna watu wamesoma na wanaelimu ya umeme humu kwenye JF. Hiyo kitu haipo popote pale dunuani hata first world countries. Mawasiliano ya simu yanawezekana wireless kwa kuwa kinachopita mle ni data au information. Kwenye umeme lazima kuwe na flow of electrons. Na Kiutaalam lazima kuwe na kitu kinaitwa Potential difference. Umeme si sawa kabisa na simu. Na kama teknolojia hiyo ikiingia ni nini kitakacho mshinda Tanesco kuwekeza kwenye teknolojia hiyo. Inawezakana mtoa mada hajui kilichopita TTCL aulize historia ndo ataelewa
V=IR: V ni Voltage I ni Current na R ni Resistance. Electrons haziwezi ku flow kwenye hewa lazima kuwe na wire wa kuzisafirisha na kwa kuwa ni umeme lazima zifunikwe zisije zikawadhuru watu. Kama zikiachiwa wireless ziruke hovyo hewani mtaua watu kila siku. Imagine 220kV au 400kV zipite mtaani.
 
Inawezekana umeme Wa wireless ukatengenezwa . hapa tutaangalia technolojia mbili. Magnetic field to signal/electromagnet waves converter. Na tuwe na Kifaa ichi mfano Wa transformer ambacho kinaweza kurise frequency za signal to high . this field is impossible may at the future. Ila hatuwezi kusafirisha masafa marefu ni Kama mita 2 tu. Sababu ya madhara ya magnetism
 
Khaa!! Laiti angalau kiasi ambacho Nicola Tesla alivyohangaika na kiasi cha energy alichopata basi nadhani mgeelewa mnajadili nini hapa
 
wewe umesoma physics? na kwa level ipi?

maana unajibu kwa kujiamini sana japo haupo sahihi.

it is proved: umeme unasafiri kwenye hewa.

hoja ya kuutimia wireless transimission ndio bado ni jambo gumu lakini matumaini yapo na si ya leo bali toka nyuma.
 
fikiria kupitisha watt 300 kwa air hao wa2 wanakuwa kwanye hal gan

Unaweza kusafirishwa hata umeme mdogo nyumbani kukawa na kifaa cha kuzalisha umeme.

Mbona solar panel inaweza charge battery ya volt 12 lkn invertor ikazalisha volt 240?

Siku hizi vifaa vingi vinatengenezwa kutumia umeme mdogo tofauti na awali.
 
Khaa!! Laiti angalau kiasi ambacho Nicola Tesla alivyohangaika na kiasi cha energy alichopata basi nadhani mgeelewa mnajadili nini hapa

Tesla alikwamishwa na j.p morgan ambae alikuwa akimfadhili ktk project yake ya kutransmiit power wirelessly Hii inshu ni ngumu kwa kweli italeta madhara na kuonize hewa umewah kuwa karibu na Extra voltage line wakati wa ucku umeme unapita kwenye waya ila bando una ionize hewa na kulifanya conduct sasa imagine uko wireless kama data na information tutakufa
 
Unaweza kusafirishwa hata umeme mdogo nyumbani kukawa na kifaa cha kuzalisha umeme.

Mbona solar panel inaweza charge battery ya volt 12 lkn invertor ikazalisha volt 240?

Siku hizi vifaa vingi vinatengenezwa kutumia umeme mdogo tofauti na awali.
Energy can never created or destroyed but we can transform it from one form to another kama una watt 100 usitegemee kuziongeza hata chembe sana sana zitakuwa converted ktk form ingine na kupungua
 
Tesla alikwamishwa na j.p morgan ambae alikuwa akimfadhili ktk project yake ya kutransmiit power wirelessly Hii inshu ni ngumu kwa kweli italeta madhara na kuonize hewa umewah kuwa karibu na Extra voltage line wakati wa ucku umeme unapita kwenye waya ila bando una ionize hewa na kulifanya conduct sasa imagine uko wireless kama data na information tutakufa

Hapa nimepata maarifa mkuu, nilikuwa sijui kitu, hata pa kukomenti sijapaona.
 
Wewe mutoa post Usiwadanganye watanzania. Kuna watu wamesoma na wanaelimu ya umeme humu kwenye JF. Hiyo kitu haipo popote pale dunuani hata first world countries. Mawasiliano ya simu yanawezekana wireless kwa kuwa kinachopita mle ni data au information. Kwenye umeme lazima kuwe na flow of electrons. Na Kiutaalam lazima kuwe na kitu kinaitwa Potential difference. Umeme si sawa kabisa na simu. Na kama teknolojia hiyo ikiingia ni nini kitakacho mshinda Tanesco kuwekeza kwenye teknolojia hiyo. Inawezakana mtoa mada hajui kilichopita TTCL aulize historia ndo ataelewa
V=IR: V ni Voltage I ni Current na R ni Resistance. Electrons haziwezi ku flow kwenye hewa lazima kuwe na wire wa kuzisafirisha na kwa kuwa ni umeme lazima zifunikwe zisije zikawadhuru watu. Kama zikiachiwa wireless ziruke hovyo hewani mtaua watu kila siku. Imagine 220kV au 400kV zipite mtaani.
Ana remind ndege zinazo rushwa angani bila rubani
 
Inawezekana umeme Wa wireless ukatengenezwa . hapa tutaangalia technolojia mbili. Magnetic field to signal/electromagnet waves converter. Na tuwe na Kifaa ichi mfano Wa transformer ambacho kinaweza kurise frequency za signal to high . this field is impossible may at the future. Ila hatuwezi kusafirisha masafa marefu ni Kama mita 2 tu. Sababu ya madhara ya magnetism
Basi kwa maoni take hata dawasco wataleta maji bombaless
 
Back
Top Bottom