Yaani pamoja na charger za wireless zilizopo mjini bado mnabisha mpaka leo, niliandika kwenye post moja hapa hautapita mwaka hizi charger zitakuwa madukani watu wakabisha, sasa hivi ziko tere mjini. Unaiweka charge kwenye umeme then simu yako inacharge popote ilipo provided iko kwenye range ya charger. Hata umeme mkubwa tayari tafiti zinafanyika kuhakikisha unakuwa salama hautaleta mdhara kwa watu na litafanikiwa.
Hizi elimu tulizonazo ndio kikwazo kikubwa maana mkiambiwa kitu mnakuja na equations kibao kuonyesha kuwa hiwezekni later mnagundua kuwa inawezekana mnabaki mnashangaa, with time umeme utakuwa wireliess
Electromagnetic ina capacity kubwa sana kufanya miujiza ambayo watoto wetu watajiuliza kwanini sisi hatukuweza kufanya, mfano ni teleport inawezekana ila kuna issue za ethics kabla haijaruhuiwa lazima ziwe solved, tumieni akili zenu kwa kujiambia hakuna kisichowekana na kila kitu mtakiona kiko wazi