Umemdondokea nani humu chumbani

I will sing this beautiful song every moment ninapohema...
you are my everything, you are the world to me
without you am nothing, with you am something, together we are something
Eli79 pisha njia
Mweh mweh! Nimekupisha mkuu. Hata mie nimepata options nyingi tu. Niko na mke wa mtu Khantwe, miss chagga sema nae ni mkwanja tuuuu, christine ibrahim japo sijajua kama nna uwezo wa kusali na kusoma baibo kabla ya kula chakula cha uzima.
 
Last edited by a moderator:

huyu Lisa tumfanyie vetting kwanza bana......anaonekana anaweza kuharibu maadili ya chama.......

halafu huyu Lisa kama nishakuwaga na mchakato naye au ni mwingine?

baada ya kusema hayo naomba niseme kwamba nimeona 'uovu' wa Khantwe, miss chagga, brenda18 kwenye huu uzi wa mzee Mwiba. Mapi ndugu yangu twende kwenye magari hapa tunaibiwa
DEMBA usije hapa tafadhali, waambie na dada zako AshaDii na gfsonwin
 
Last edited by a moderator:

hadanganyiki na vidate vyako.....anathamani kubwa zaidi ya kadate unakotaka kumlaghai nako.
 
inaonekana kunasiri unaijua wakati mimi siijui, nidokeze ndugu yangu
maana hata huko kwenye magari nikienda bila kuweka sawa hapa ntapata ajali tu
 
Mweh mweh! Nimekupisha mkuu. Hata mie nimepata options nyingi tu. Niko na mke wa mtu Khantwe, miss chagga sema nae ni mkwanja tuuuu, christine ibrahim japo sijajua kama nna uwezo wa kusali na kusoma baibo kabla ya kula chakula cha uzima.

afadhali mmoja umejitoa, ngoja huyu mwingine na vidate vyake vya danganya toto

mpenzi brenda18 Usidanganyike mama, unayajua mapenzi yangu juu yako, sipo tayari uende kwa mwingine....
 
Last edited by a moderator:

Tatizo unanisahau kila siku, kwa hiyo acha nibaki nakuita shem hivyo hivyo mpk utakapokumbuka kama ni muke ya mwana mdogo au mkubwa.
CC Kaizer
CC Tetra sijui uko wapi nimekumiss sana
 
Tatizo unanisahau kila siku, kwa hiyo acha nibaki nakuita shem hivyo hivyo mpk utakapokumbuka kama ni muke ya mwana mdogo au mkubwa.
CC Kaizer
CC Tetra sijui uko wapi nimekumiss sana

hivi mbona hukunialika anivesare?
 
Hapo kwenye Red ndiye mwenyewe huyo huyo, ila alipotea kwa muda kutokana na majukumu ya kichuo, sasa yupo likizo ndiyo maana amerudi tena kundini.
Vipi khali yako u mzima wewe?
 
hivi mbona hukunialika anivesare?

Tatizo nduguyo ningemueleza nn? naogopa maswali maana ya kwenye mtihani tu shida kujibu je hayo, au unataka nipewe kadi ya njano kwenye kula sakalamenti takatifu mwenzio, na ninavyoipenda Loh! utafanya nife na kiu.
 
Niseme nisi seme....semaaaa .....akanana
Aiseeee
 
Tatizo nduguyo ningemueleza nn? naogopa maswali maana ya kwenye mtihani tu shida kujibu je hayo, au unataka nipewe kadi ya njano kwenye kula sakalamenti takatifu mwenzio, na ninavyoipenda Loh! utafanya nife na kiu.

ewaaa, muda wote huu nimekuwa nikisubiri huo mwaliko, kumbe tena unaogopa kiu, mimi ninayo maji hutaona kiu kamwe, ila ndo ivo inabidi wa Samaria abaki huko na wa Galilaya abaki huko.

Karibu tena lisa.
Asprin kwa bandiko hili, mpe Lisa form haraka sana
 
Last edited by a moderator:
Unajua ulivyoniita "shem" ushaniharibia sehemu? Hebu fafanua kabisa kuwa wewe ni waifu wa braza ili niwe salama.

BTW we hujawahi kunidondokea?

cc mwenyekiti Kaizer hebu kuja pande hii kwa maslahi ya chama.

Hahahahahaahaaaa!!!! kaka Kaizer embu naomba unisaidie kumuuliza nduguyo Asprin anaogopa nn? inaonyesha anao mashemeji wengi kiasi anaogopa asije wachanganya.
 
Ntuzu my husband umepita kipande hii??? I luv u...only u. Achana na hayo maandishi ya jitu lililohack account yangu. I luv u mume wangu

Aiseee ndo napita humu mke wangu.

Nashukuru kwa kupendwa na wewe mke wangu na Mimi nimekudondokea sn Khantwe wangu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…