Umemdondokea nani humu chumbani


Hahaha...uovu upi kaka Kaizer mbona wataka nipeperushia ndege wangu ati
cc: Mapi Nyamgluu
 
Last edited by a moderator:

If you can't fight them,join them...smart hapa ndo nakupendea waweza nyakua taji.😉
 
Last edited by a moderator:
brenda18 kwangu kafika, kama ni meli basi imetia nanga,
we utapiga kelele tu kama chura dimbwini ila mimi maji nitayanywa.
Muulize atasema, nani raha humpatia.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hujajiuliza kwa nini mahudhurio ya Kongosho siku hizi sio mazuri? nadhani umetimiza wajibu wako, nenda zako kwa amani, niite wakati wa ubatizo.

Kwa jinsi hii ODM alimpenda Kongosho hata akazituma mbegu zake ili kila zimuingiapo asitoke tupu bali apate mimba dume.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…