Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
X wangu siwajui wako nchi gani na wana hali gani huenda ni viongozi wa nchi zao..!?
hahaaa ww unataka storii iendeleeSawa ila hapo kwenye kuacha baiskeli na kujitupa na kugaragara imeleta ukakasi kuhusiana na afya na usalama wa abiria aliepanda hiyo bicycle baada ya kuachwa ghafla na dereva
Kama ingekupendeza ni vyema ungeanzisha uzi mpya unaoelezea hali ya abiria baada ya hili tukio lenu😁😁
mkuu ww ni seamen?X wangu siwajui wako nchi gani na wana hali gani huenda ni viongozi wa nchi zao..!?
Haitokaa itokee,usije jikuta mme kumbushiana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenye ma ex mmetumika sana ni muda mumrudie Mungu [emoji1787][emoji1787]
Nna imani ulishanunua mbeguHuo muda sasa wa kuwaza ma Expired things si tulime hata vibustani…
😂Uzi ulikuwa mzuri,ulipofika hapa ukaharibu
Ma ex wangu wote wako vizuri kuliko nilivyo waacha namahukuru Mungu.. wote nawaombea mafanikio kama Mimi[emoji1374]Wiki hii nilipata safari ya kikazi mkoani kwetu Iringa -mafinga.
Baada ya kuisha kwa ukaguzi na kuandikia ripoti ya kazi zangu nikaamua kujisogeza nyumbani
sababu sijaenda kuwasalimu miaka kadhaa sasa tangu nipate ajira.
basi ndugu zangu nilifurahi sana kufika home, nikasalimu wazazi ndugu, jamaa na marafiki. ilipofika mida ya mchana nikawa nimetoka kwenda uwanjani kutafuta network(mtandao).
Kila napopiga hatua kuelekea mbele nikawa namuona mdada ambaye sura yake sio ngeni machoni pangu anaendesha baiskeli akiwa kambeba mama mtu mzima ambaye anakuja usawa wangu .
doh! vile amekaribia kumbe ni ex wangu ,yule aliye utesa moyo wangu . aliye nisulubu nikaona dunia chungu mpaka nikashindwa kufanya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka huo.
Nikaita jina lake mara mbili akasimama, nikamsalimu uhali gani ? ulikumbwa na nini? ajabu sana ex wangu katika maongezi ya dakika tano bado alishindwa kunifahamu mi ninani? mpaka pale nilipo mwambia mimi ni fulani umenisahau.!!
Ex wangu alishindwa kujizuia akaanza kulia. Hali iliyo nifanya namimi nianze kujikaza kiume kutoa chozi sababu ex wangu kapoteza nuru ,tabasamu na muonekano, jamani Huyu mwanamke nilimpenda sana.
Nilipo muuliza ulikua wapi kipindi chote , katikati ya mapenzi yetu uliondoka bila hata kuniaga nilikukosea nini Akaniambia Mama alimpeleka Dar kwa wajomba zake kusoma!!
ebu funguka hapa chini ex wako yuko wapi, umewahi tenga muda kujua anajihusisha na nini kwasasa?
Nakazia hapa mimiHuo muda sasa wa kuwaza ma Expired things si tulime hata vibustani…
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo muda sasa wa kuwaza ma Expired things si tulime hata vibustani…
umeonesha weakness.mwanamke anapolia mwanaume hupaswi kuunga tela nawe etiWiki hii nilipata safari ya kikazi mkoani kwetu Iringa -mafinga.
Baada ya kuisha kwa ukaguzi na kuandikia ripoti ya kazi zangu nikaamua kujisogeza nyumbani
sababu sijaenda kuwasalimu miaka kadhaa sasa tangu nipate ajira.
basi ndugu zangu nilifurahi sana kufika home, nikasalimu wazazi ndugu, jamaa na marafiki. ilipofika mida ya mchana nikawa nimetoka kwenda uwanjani kutafuta network(mtandao).
Kila napopiga hatua kuelekea mbele nikawa namuona mdada ambaye sura yake sio ngeni machoni pangu anaendesha baiskeli akiwa kambeba mama mtu mzima ambaye anakuja usawa wangu .
doh! vile amekaribia kumbe ni ex wangu ,yule aliye utesa moyo wangu . aliye nisulubu nikaona dunia chungu mpaka nikashindwa kufanya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka huo.
Nikaita jina lake mara mbili akasimama, nikamsalimu uhali gani ? ulikumbwa na nini? ajabu sana ex wangu katika maongezi ya dakika tano bado alishindwa kunifahamu mi ninani? mpaka pale nilipo mwambia mimi ni fulani umenisahau.!!
Ex wangu alishindwa kujizuia akaanza kulia. Hali iliyo nifanya namimi nianze kujikaza kiume kutoa chozi sababu ex wangu kapoteza nuru ,tabasamu na muonekano, jamani Huyu mwanamke nilimpenda sana.
Nilipo muuliza ulikua wapi kipindi chote , katikati ya mapenzi yetu uliondoka bila hata kuniaga nilikukosea nini Akaniambia Mama alimpeleka Dar kwa wajomba zake kusoma!!
ebu funguka hapa chini ex wako yuko wapi, umewahi tenga muda kujua anajihusisha na nini kwasasa?
Ninao wachache hapa bongo nao siwajui wako wapi na wanafanya nini?mkuu ww ni seamen?
ama ni foreign officer, ma ex zako wako majuu
Sijawahi sikia mtu anasema amekutana na ex wake amenawiri , amaeng'aa au ametoboa ...yaani maEx wote wanakuwaga wameparanganyika eti...ndio kanuni ya kumuongelea Ex labda ... Labda nione humu Leo ex akisifiwa.nimekuta ex wangu kachakaa sio mchezo
Hiv kwanini wote maex wenu wamechakaa hakuna mwenye Nuru. Mi wangu sasa hiv ni muke ya boss moja. sema amekuwa ni mshikaji tunapiga story tu tukikumbukana. Tunaishi maeneo tofauti.nimekuta ex wangu kachakaa sio mchezo