Umekumbwa na nini ex -wangu

Umekumbwa na nini ex -wangu

Sema sio kitu kizuri kufurahia magumu anayopitia mtu amabaye alikuwa x wako

Nadhani hii kufurahia magumu ya mtu ni roho amabayo inaweza kukufanya usiende mbele na kuwa na Mtazamo . Watu wengi hasa bongo mkiachana hatua inayofata nikuombeana mabaya.

Ni vizuri watu tukaelewa katika MAISHA maamuzi mengi hufanywa kutokana na Maarifa au kiwango Chao cha ufahamu
 
and this is my aim. we must stabilize income status through capital and technical empowerment
 
Back
Top Bottom