Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,393
- 5,976
Toto chenge kweli kweli. Kosa la ndugu zake,abebe yeye? Alivyo mtam sasa! Na umeshakua fundi na wewe tenamkuu namkubali ila siwez mrudia.
ndugu zake hawakunipa ushirikiano kipindi ameondoka, niliumuulizia kwa ndugu hata wanipe namba ya simu lakini haikuwezekana.
ila siwezi msahau