Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,773
- Thread starter
- #121
tuwe tuna wawezesha ma ex, kitu ambacho sio kibayaUsiombe ukutane na ex wa kike alie chakaa...Mademu wanatia huruma kama mbwa koko yaaani ni huwa wanachakaa haswa kama ulimpenda ukweli unaweza lia aisee kuna watu wanajua kuwachakaza wanawake aisee sio poa