Umekumbwa na nini ex -wangu

Umekumbwa na nini ex -wangu

ebu funguka hapa chini ex wako yuko wapi, umewahi tenga muda kujua anajihusisha na nini kwasasa?
Past is gone, wewe unaweza kuifufua maiti iliyokufa?

Huo muda hua natenga kwa ajili ya Mambo mengine ya msingi sio kujua mtu gani anajihusisha na nini wewe mwenyewe hapo umesema umekutana nae njiani just a coincidence,

Mimi pia nilikutana nae njiani akaanza kujirudisha nipatie namba yako mara huyo kaja kunitembele nikafunga vioo umeshaolewa wewe na mtoto umeshampata ndani ya ndoa mazoea na Mimi ya nini tena?
 
hahaaa chief
mimi sina roho hiyo, nimetoka naye mbalii. sex not

nataka ukaribu tuu na kumuwezesha
 
Hebu malizia story...kuna jambo hujamalizia kuliandika
mkongwe, mengine nimeyahifadhi.

unajua ukiwa kwenye age ya 18+ yule mtu unae anza nae ,nikama unamkabidhi kila kitu kwenye mahusiano.

now above 25+ mapenzi siyazingatii sana sababu ya kazi,uchumi na majukumu.

Nilimpenda sana ex wang katika sayari hii ya dunia
 
Mi nimejiuliza yule mgonjwa aliyebebwa kwa baiskeli ilikuaje baada ya eksi kuanza kujigalagaza chini...si itakuwa naye pia alianguka chini... si eti eenh Jo?

Ndio ndio mtu nane 😂

Picha ya mtu kulia huku anajigalagaza inakuja lakini?
 
believe it or not

based on true story chief ,hii sio chai kuna codes zimetumika
Sawa ila hapo kwenye kuacha baiskeli na kujitupa na kugaragara imeleta ukakasi kuhusiana na afya na usalama wa abiria aliepanda hiyo bicycle baada ya kuachwa ghafla na dereva

Kama ingekupendeza ni vyema ungeanzisha uzi mpya unaoelezea hali ya abiria baada ya hili tukio lenu😁😁
 
Back
Top Bottom