SSH Tafakari kuhusu hili.

SSH Tafakari kuhusu hili.

mrxtz2026

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2026
Posts
262
Reaction score
301
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?

Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.

Nawasilisha.
 
Kawaida sana hiyo ,kama maslahi wanagawana nyuma ya pazia ..Kuna wazee hao wameshikilia mpini.
Sasa kama ni maslahi kwanini wasitulie abaki huyo kisha nyuma ya panzia wale kwa kujimwaga why wanangoana ngoana hovyo, yani ccm wamegeuka samaki walakulana wao kwa wao, kila siku mtu anaachia ngazi why.........?
 
Huyo aliwekwa so wakaona hafai baadaye ,Nchimbi ni mdogo sana,aliondoka Lowasa ...

Mbona wakurugenzi wa Taasisi kila siku wanatumbuliwa ,unawekwa ukiwa uko frsh ila ukigeuka tu basi kwisha unatolewa.
 
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Asilimia 98% na watu kuny'atuka ni hatari kwa usalama wa kidemokrasia.
Si kujiuzulu tu! Hii ni Katika nchi ambayo kujiuzulu kwa mtu kwaweza kumsababishia kifo. Na katika nchi masking wa kutupwa kiasi ukijiuzulu usiweze kupata kitu kingine cha kufanya!
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Asilimia 98% na watu kuny'atuka ni hatari kwa usalama wa kidemokrasia.
Kuna level ya usugu mtu akifikia anakua amekubuhu... Huwezi ukamuelewesha au yeye akakuelewa kwa kumshauri, au kumuonyesha fedheha ilipo ama kwa kutia huruma haiwezekani kamwe..

Gen-z wanasema aibu utaona wewe..!?

Mtu akishafikia viwango hivyo ni sawa na mraibu wa madawa ili kuacha ni labda tmumuache tu aendelee kuharibikiwa hadi pale muda wake utakapo fika au nguvu ya ziada itumike(kwamsukumo wake wa ndani hawaezi ataendelea hivyo hivyo unless we apply an external force to change the motion(stop or accelerate)).

Pia soma
Atapiga paah!!! ukimya utatawala, hakunakitu kilianguka na katika kuangalia juu ya mti wakaona kiota... Yule muwindaji akarudia tena kupiga shabaha na sasa hivi alionekana njiwa akianguka kutoka katika kile kiota akiwa amekwisha kufa wakamuokota, ionaonekana alikua anahatamia mayai yake ili aache kizazi cha baadae...ni huzuni kwakweli!!! masikini njiwa wa watu...!!! Yule kijana nae akalenga shabaha na akaona kitu kinashuka walivyokiokota wakaona ni mguu wa yule njiwa ukiwa umekomaa sana(njiwa alikula chumvi nyingi) na ulikuwa bado unafanya kazi (vidole vyake vinang'ang'ania mkononi mwa yule kijana).

Wakawa wanajiuliza shabaha ya kwanza ililenga wapi na yapili ikapiga wapi wakafikia hitinisho kwamba shabaha ya kwanza ndio iliyorarua tumbo lote huku njiwa huyo akiendelea kung'ang'ania kiota na shabaha ya pili ikalenga mguu ukakatika na kufanya njiwa aanguke chini na shabaha ya yule kijana ikautungua ule mguu nao ukaanguka chini. Ilikua ni huzuni kwa wenye huruma hasa ukizingatia njiwa sio ndege muharibifu vilivile pia alikua katika hatua muhimu ya kuhatamia na kuleta kizazi kipya ulimwenguni.

Ameni
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Asilimia 98% na watu kuny'atuka ni hatari kwa usalama wa kidemokrasia.
Tulia hakujiuzulu alijitoa kugombea, Majaliwa hakujiuzulu alijitoa kugimbea, Mpango hakujiuzulu hakuteuliwa kuwa mgombea mwenza
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Asilimia 98% na watu kuny'atuka ni hatari kwa usalama wa kidemokrasia.
Na sisi wananchi tulishakukataa, ndio maana ukatuua ili ujiapishe kuwa rais
 
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.

Asilimia 98% na watu kuny'atuka ni hatari kwa usalama wa kidemokrasia.
Hatuna imani na rais.
 
Huyo aliwekwa so wakaona hafai baadaye ,Nchimbi ni mdogo sana,aliondoka Lowasa ...

Mbona wakurugenzi wa Taasisi kila siku wanatumbuliwa ,unawekwa ukiwa uko frsh ila ukigeuka tu basi kwisha unatolewa.
Swala sio wakurugenzi swala ni makamu wa rais hawezi kulinganishwa na mkurugenzi wa halmashauri. Aibu ni aibu tu na hii imezidi sana
 
Kuna level ya usugu mtu akifikia anakua amekubuhu... Huwezi ukamuelewesha au yeye akakuelewa kwa kumshauri, au kumuonyesha fedheha ilipo ama kwa kutia huruma haiwezekani kamwe..

Gen-z wanasema aibu utaona wewe..!?

Mtu akishafikia viwango hivyo ni sawa na mraibu wa madawa ili kuacha ni labda tmumuache tu aendelee kuharibikiwa hadi pale muda wake utakapo fika au nguvu ya ziada itumike(kwamsukumo wake wa ndani hawaezi ataendelea hivyo hivyo unless we apply an external force to change the motion(stop or accelerate)).

Pia soma
Ila aibu naona mie ujue
 
Mpango muda wake uliisha siyo lazima kuendelea nae

Tulia the same

Majaliwa the same

Pole Pole snitch alichokitafuta amekipata

Ndugai Mungu kampenda zaidi

Nchimbi kaondoka kwa hiyari yake

Tanzania is there to stay and Samia ni President
Swali ni why, Kwenye muhula wa rais mmoja....?
 
Back
Top Bottom