Umeadimika kishenzi!

Umeadimika kishenzi!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Umeadimika kama msele wa treni.
umeadimika kama milanngo ya tractor.
Umeadimika kama honi ya ndege.
Umeadimika kama thead ya mod
,,,,,hebu ongezea *yako hapo!
 
Umeadimika kama miguu ya nyoka
Umeadimika kama shilingi ya Nyerere
 
Umeadimika kama Ze Mangi
Umeadimika kama machozi ya samaki
 
Umeadimika kama BEDFORD
Umeadimika kama FIATI
 
Umeadimika kama Theodore.......................nitafutieni huyu rafiki jamani!
 
umeadimika kama maziwa ya nyoka.

Umeadimika kama kaburi la baniani.
 
Umeadimika kama BEDFORD
Umeadimika kama FIATI

Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara

Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu
(sina uhakika na hizi spelling)
 
Umeadimika kama kiyoyozi (AC) kwenye bajaj, umeadimika kama mgomo wa wanajeshi,umeadimika kama moshi wa mabomu ya machozi,umeadimika kama mvua za elnino,umeadimika kama stori za kikombe cha babu,umeadimika kama...,duh.umeadimika kishenzi
 
Back
Top Bottom