Umeadimika kishenzi!

umeadimika kama jasho la meno umeadimika, umeadimika kama mi aah nimeshajichanganya
 
Umeadimika kama chai maharage za arusha,lol
Cathode raysn ni leyland daff

hapana Kingasti ni Leyland DAF (Van Doorne's Automobiel Fabriek) British Leyland wali merge na DAF company 1987 wakatoa hiki kitu al maa Leyland DAF.................nilizipenda hizi mashine kutoka na mlio wa engine zake MASCULINE tofauti na na ule wa asili wa Leyland CD..........wa kinanda FEMININE!
 
Back
Top Bottom