Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 355
umesahau na log off leo loh!
hyo kitu nalog of inanikeraga,....! Cjui wengne!
umesahau na log off leo loh!
Umeadimika kama vile nanilii... nini tena, aha nimekumbuka ... umeadimika kama vile umeadimika
Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu (sina uhakika na hizi spelling)
Kweli busara zako zimehadimika ndo maana unaandika ujingaUmeadimika kama msele wa treni.
umeadimika kama milanngo ya tractor.
Umeadimika kama honi ya ndege.
Umeadimika kama thead ya mod
,,,,,hebu ongezea *yako hapo!
LOL!mwanamke balaa wewe!Umeadimika kama ushuzi wa jogoo.
Umenikumbusha mbali.Umeadimika kama dawa ya meno aina ya bonamedi.nukta