Umeadimika kishenzi!

Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara

Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu
(sina uhakika na hizi spelling)

Mkuu uchagani zote zipo hizo. Wazee wa kule wameyatunza sana kubebea kinywaji
 
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu
(sina uhakika na hizi spelling)

Hiyo Dafu ni uppercase DAF, kule kwetu lilikuwepo basi linaitwa "Kindo kyako Mbe" ule mlio ilikuwa ni faraja tosha hasa wakati wa "sensa"
 
Du asee yaaaaaani Umeadimika kaa mapenzi ya kweli.
 
HAta uda nalo limeadiadimika jamani khaaa! Hata hivoNapenda ccm nayo iadimike hivohivo ka uda atcl,kiwanda cha urafk,tanganyika pakers nk
 
Du asee yaaaaaani Umeadimika kaa mapenzi ya kweli.
 
Hiyo Dafu ni uppercase DAF, kule kwetu lilikuwepo basi linaitwa "Kindo kyako Mbe" ule mlio ilikuwa ni faraja tosha hasa wakati wa "sensa"
Mkuu Umenikumbusha na mie Pia Hiyo Kindo Kyako Mbe Nilishaliona hilo Basi But Lilikuwa ni Layland CD na Sio Daff

Daff hiyo Model ya hayo Mabasi Yalikuja Baadae Sana...

Msisahau Umeadimika kama Ukombozi wa Tanganyika

Pia Kulikuwa na Kindo Kyako Sembe Mabasi Ya Vijiji Hayo
 
umeadimika kama 10% kwenye mikatapa ya umeme.... umeadimika kama malipo ya dowans..
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara

Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu
(sina uhakika na hizi spelling)

leyland daf wana gari mpya nzuri sana....... am ot so much sure but ni kama sumry wanazo leyland ama sijui ni kampuni gani ya mabasi
 
Umeadimika kama wimbo maarufu:Chama chetu cha mapinduzi eeh chajenga nchi...,oohh chama aaahh......endelea...
 
Umeadimika kama kiatu cha raizoni dukani>>>Umeadimika kama uongozi bora kwa CCM!
 
Umeadimika kama vile nanilii... nini tena, aha nimekumbuka ... umeadimika kama vile umeadimika
 
Back
Top Bottom