Umdhanie ndiye kumbe.....

Umdhanie ndiye kumbe.....

Hee wifi vip mbona kimya ivoo eti mamii nin tatizo au nawe unaona shida kaka mentor hayupo ila naomba ulale bana kuna watu wajifanya polis jamii hapa hawakawii kukupiga kabali

wifi usingizi hauji, kitanda kimekuwa kikubwa, jamani Mentor arudi bhana!
 
Last edited by a moderator:
Mate yalikua yakuchuruzika
Ninae mie jg nae ana mimi nasty muache mme wangu ana stress tuu za mtaa

Haswaa! Mamsap, afu kesho usisahau kumpokea wifiyo ma'sister, anakuja amepanda Bus laitwa "Makavu bus service" kutokea Tanga.
 
Haswaa! Mamsap, afu kesho usisahau kumpokea wifiyo ma'sister, anakuja amepanda Bus laitwa "Makavu bus service" kutokea Tanga.

Heheheeeeeeee jaman hun bana majina mengine ya magari bana mi staki aaaah sa manake nin hehee makavu bus hihihii haya ntawah mapee
 
Aaaaaaw be... Beeib hebu bana mbona bado ipo macho aaaaaaa mihayo hii looh hebu nana achana na mazipompapompa bana yanin muache tuu keshajisoma labda atakua nati moja haipo kwa head hold me hold me hunie mmmmmh achana na masimu baaaana

Nshaiweka kulee , geuka huku basi swirry !
 
nini kinaendelea hapa? morning u guys! ni nssf au kuna mengine?
 
Back
Top Bottom