umbea...............



Dah... nimeahirisha. Sheria inaegemea kutoka nje, na mimi nje siwezi kutoka... Hapo tu nakuwa nisafeli. Niwatakie tu kazi njema... lol
 
nani huyo anazipata bila kutoa jasho? Mi nazifahidi sana teh teh teh...ntakuja kuogelea utaona, teh teh teh

wengi tu aisee! tunaoumia ni wengine wanaofaidi ni wengine. karibu sasa hivi niko gado sana tu.
 
Dah... nimeahirisha. Sheria inaegemea kutoka nje, na mimi nje siwezi kutoka... Hapo tu nakuwa nisafeli. Niwatakie tu kazi njema... lol
Kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa KAMA HUFANYI INFIDELITY UJUE MKEO/MMEO NDIO KAMANDA WA INFIDELITY! Utafiti wa chama chetu umethibitisha hilo. Kwa hiyo shem we piga infidelity ili mmeo awe safe.... Believe me you.
 
Dah... nimeahirisha. Sheria inaegemea kutoka nje, na mimi nje siwezi kutoka... Hapo tu nakuwa nisafeli. Niwatakie tu kazi njema... lol

hivi mke mwenza hujui siku hizi wamejihalalishia kutoka nje? yaaani wanadai ni inevitable.............
 

I don't need any syndication or vindication,
I move like a one man nation with positive vibrations
In the right direction
I send calibrations to rip the fabric of gravitation
I plant the seed for positive mutation with my musical notations
I talk high, I write low and all in between
'Til the blind and the mean could see what I mean
Call me sire, JF messiah, high like the Himalayas
I eat electricity like a Prius, and breathe fire
I give you laws like a Hammurabi, stricter than Wahabi
I bring queens stateside, like I'm Kentucky Derby
I don't float like a butterfly, or sting like a bee
I annihilate and fry, all flings by wannabees
Do you want more? I've got more in store
Styles new like Desalegn designs,step close you get fined
Old like Zsa-Zsa Gabor, to make you "ha ha,I'm bored"
Or bi Kidude, watch how I do this like a Buddhist
Monk you mocks, flow cool like Titicaca
With my Orinoco loco flows, call me kaka
I spit Farsi like Malagarasi, try surpass me
Deeper than the Marianna Trench, hasi!
Bring Burundi Fugees to Rufiji,
And make them sing Didi like Diddy
Do you want more? I've got more in store
Palindromic like a god dog, astronomic
I keep you gassy, I'm the chef, mad dog, gastronomic
Super cat, with super facts
The rest of them raas klaat, don't know how to act
Cut that brick and build that palace, Mbezi to Dallas
And put that cush in the chalice, chant down the malice
I'm serious, bright like Sirius
More murderous lyrically Assad, Syria
I make you pot in your chair, like Pol Pot's Kampuchea
Wannabees and impostors, usurpers, beware
Do you want more? I've got more in store
I bomb like Baidoa is backdoor to your show
Tatter your vows and hijack your slow flow
Label you cavalier, you funny Tanzanian
I'm outta here like a rare souvenir
I put it in, Vladimir
You Pussy Riot, fired
It's Kiranga from Manga Komamanga
Borderline crazy like Namanga
Bring you pleasure like Ananga Ranga
Or Kama Sutra, makes them wet like Brahmaputra
Call me Dr, like Gupta
Do you want more? I've got more in store
 
Kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa KAMA HUFANYI INFIDELITY UJUE MKEO/MMEO NDIO KAMANDA WA INFIDELITY! Utafiti wa chama chetu umethibitisha hilo. Kwa hiyo shem we piga infidelity ili mmeo awe safe.... Believe me you.

mke mwenza huyu ni mfariji mtaabishaji kamwe usimsikilize...............wala tusi mvunjie Kaizer wetu heshima.
 
Last edited by a moderator:
King'asti mwenzio miye ngumi mkononi ujue haya huyo buzi unakotaka kumpeleka wifiyo ili tufe sote kwa maradhi ya kisasa? mwanangu Ronn M utamlea wewe?

Utajibeba. Ulivyoingilia ndoa ya watu ulitegemea nini? Ndo ujiandae hivyo mama, andika mirathi kabisa.

hahaha! wifi kwani ukiwa katika chama lazima uwe na wa pembeni? kama ni hivo hapana, kakako bado ananiridhisha...:redface:

Wifi kumbe ukimsikia shemejio anaomgelea visabuninvya gesti hausi ulijua ndo saluni ama? Hebu soma msahafu vizuri. Dena Amsi atakuelewesha vingine manake yeye alijiunga na chma kabla yangu:wacko:
 
Last edited by a moderator:
halafu umeongelea kuhusu kukagua underwear ukasahau kaguzi wa vibukta............
Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.

Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.

Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.
 
Make nom mistake gfsonwin...ni mwoga wa kuletewa mdundiko tu. Ukikosea ukaingia kwenye 18 yangu ntakubana ushangae, teh teh teh. Nina ujasiri uliopitiliza pale ninapoamua!

yaani sasa mimi ni bingwa wa kusuta na napenda kusuta. ha ha ha ha ha !
 

hivi kuna makuli wadada etiii? just to be curious
 
aaah! wa nyumban ndo kila kitu wewe ruka uwezavyo ila ukifika home lazima heshima mbele sana.
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi hutumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…