umbea...............

hivi Asprin mbona umbea wako leo haueleweki? sasa ngoja nikupe na mie nloupata jana kijiweni.

wanaume watu wazima ni wajaluo peke yao............ kisa wana mkono sweta.
wanaume wa kisukuma wanapanga uzazi kirahisi kuliko wanaume wengine wote ...........kisa wao hufunga mikono sweta yao kwa mbele hivyo wana do kisha wakimaliza wanakwenda chooni wanafungua kumwaga watoto wao.
wanaume wa kichaga wao hawana mshindo .................kisa wanakatwa mikono sweta toka wachanga wa siku 5 so mashine haikui kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nipo Ndahani. Mzima wewe?

Kuna adhabu mbalimbali tunazowapa wanachama wetu. Ukifumaniwa UNASIMAMISHWA uanachama kwa miezi sita! Ni Kosa la JINAI kwa infideletaz na infideleez kufumaniwa, ukifumaniwa maana yake hujafuata katiba na SHERIA zetu, kitendo ambacho HAKIKUBALIKI kisheria.
 
Sisi umbeya tumeacha siku hizi...tunakazana kutafuta pesa sabuni ya roho. Nikisema umbeya naogopa kuletewa tarumbeta gfsonwin. Ila heru yako kazi umemaliza...mimi nategea sasa hivi ntakimbia jukwaa

unaonaje unapoisaka haklafu huifaidi kama ambao wanaipata pasi kuvuja jasho?
 
Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.​

Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger
King'asti mwenzio miye ngumi mkononi ujue haya huyo buzi unakotaka kumpeleka wifiyo ili tufe sote kwa maradhi ya kisasa? mwanangu Ronn M utamlea wewe?
 
Last edited by a moderator:
Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger

Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI​

Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.​

nshakusoma wewe atii haya nipe kitenge changu kwanza kutoka kwa papaa mungu mtoto. upesi manake ilikuwa ni zawadi yangu baada ya mechi yangu dhidi ya chicago kwa magoli mengi nlofunga atii.
 
naskia wewe umesimamishwa baada ya kufumaniwa mitaa fuln huko kwa mfalme nyota na cacico.
 
Last edited by a moderator:

Nimarufuku INFIDELATORS/INFIDELETEES kutumia usafiri (Gari)moja kila mtu atumie usafiri wake na aingie/kutoka kwa muda wake sehemu husika GESTI HAUSI​

umesahu kwamba sikuhizi kwasababu imekuwa ni rahisi wenzi kutrace namba za simu za wenzoi wao basi uwe na line separate ambayo itatumika unapotaka kuwasiliana na small house na hii hubaki ofcn kwako na inaimu yake separate kabisa.
 
Ukifanya hivyo asubuhi utatokaje ndani ya nyumba yako? Utaamka saa kumi usiku kuwahi kazi au inakuwaje? Ukauzu una maeneo yake...kama kwenye zile baa zetu ni kuleta ukauzu kwa kwenda mbele, teh teh teh
kumbe bado mwoga eeh! jilipue siku moja utapata ujasiri
 
na mimi naskia mke mwenza eti ulipata mswala ikakushinda ukaamua kurudi kwa mbachao kweli haya?
 
Wifi, nakupigia sasa hivi nikueleweshe kipengele kwa kipengele. Leo uchonganishi hadi mwisho. Afu kuna bonge la buzi nataka kukutambulisha. Kaizer, dont shoot the messenger

hahaha! wifi kwani ukiwa katika chama lazima uwe na wa pembeni? kama ni hivo hapana, kakako bado ananiridhisha...:redface:
 
umesahu kwamba sikuhizi kwasababu imekuwa ni rahisi wenzi kutrace namba za simu za wenzoi wao basi uwe na line separate ambayo itatumika unapotaka kuwasiliana na small house na hii hubaki ofcn kwako na inaimu yake separate kabisa.
:clap2::clap2::clap2: :A S thumbs_up:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…