Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Yani nilikua nampenda but today nimemshusha ptuuuu!!!!
kuzaaa ni majaliwa mamamaa....!
Neema aliyopewa ya uzazi isiwe kibri kwake!!akumbuke hujafa hujaumbika Mungu anaweza kukubadilisha ndani ya Dkk sifuri,kuna machungudoa kibao wana watoto na wapo walokole Mungu hajawapa hyo neema
Mpuuzi huyu bmkubwa...!!
km yy ndo wa kwanza kuzaa hapa ulimwenguni!!au km hatokuja kufaaa!!!sipendi anaekashifu wasiozaa!!
Wangapi wametoa na wanatoa mimba na bado wanazaa!!
asitake kujifanya yy ndo yy!!Mtu mzma kutwa kwenye mitandao kushindana na watoto wadogo!!HV hana kazo ya kufanyaa!!
kuzaa kazaa mende,pànya anabeba mimbaa!!
Aashe mahashuo afanye kazi kutwaa mitandaoni akopeshe ht chupi huko kwao bas tujue biashara zake
Nyau wa kiganda!!!
 
Mmh kazi ya Mungu Haiingiliwi. ....

BTW so katika vitu vyote alivyowazidi hao wanaofananishwa naye, kubwa ni kwenda labour mara 4?
Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??
Mdomo uliumba...baba Mungu onyesha uwezo wako kwa wanaojikweza.Aaaaamen
mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!
 
TEHETEHE PUNGUZA JAZBA...... HUJASKIA STORY YA UPANDE WA PILI. ALIFANYWA NINI MPAKA AKAJIBU
 
Mmh kazi ya Mungu Haiingiliwi. ....

BTW so katika vitu vyote alivyowazidi hao wanaofananishwa naye, kubwa ni kwenda labour mara 4?

Haya ni majivuno ya kawaida tu kwa waafrika(kwa upu.mbavu mwingi uliotujaa)Utasikia mimi kidume nimezaa kidume mwenzangu!Ama nina dushe kubwa(kujaaliwa),au mtu anauliza unawezaje kukosa hela?,pia mi mkali unanilinganishaje na mshamba yule?!Yapo mengi majivuno kwa hiyo acheni naye ajivune si ana akili sana hadi amepata hayo yote

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yani nilikua nampenda but today nimemshusha ptuuuu!!!!
kuzaaa ni majaliwa mamamaa....!
Neema aliyopewa ya uzazi isiwe kibri kwake!!akumbuke hujafa hujaumbika Mungu anaweza kukubadilisha ndani ya Dkk sifuri,kuna machungudoa kibao wana watoto na wapo walokole Mungu hajawapa hyo neema
Mpuuzi huyu bmkubwa...!!
km yy ndo wa kwanza kuzaa hapa ulimwenguni!!au km hatokuja kufaaa!!!sipendi anaekashifu wasiozaa!!
Wangapi wametoa na wanatoa mimba na bado wanazaa!!
asitake kujifanya yy ndo yy!!Mtu mzma kutwa kwenye mitandao kushindana na watoto wadogo!!HV hana kazo ya kufanyaa!!
kuzaa kazaa mende,pànya anabeba mimbaa!!
Aashe mahashuo afanye kazi kutwaa mitandaoni akopeshe ht chupi huko kwao bas tujue biashara zake
Nyau wa kiganda!!!
Ni ww tu ndo hujui biashara zake,,hujiulizi kwann wanamuita the bos lady
 
Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??

mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!
Daaah binamu kuna watu hata kutoa mimba hawajawahi Ila wanavyohangaika kutafuta mtoto mmh

Kuna wengine wameenda hadi labour Ila hawakupata chochote maskini, wakaishia kuuguza vidonda na kuona makovu (my cousin sis, few weeks ago alijifungua triplets na wote walifariki bahati mbaya)

Kuna waliolea watoto hadi wakawa wakubwa but Kwa mapenzi ya Mungu, mama zao leo wamebakiwa na ukiwa.
Aliyekupa wewe ndo kamnyima na mwingine
 
Haya ni majivuno ya kawaida tu kwa waafrika(kwa upu.mbavu mwingi uliotujaa)Utasikia mimi kidume nimezaa kidume mwenzangu!Ama nina dushe kubwa(kujaaliwa),au mtu anauliza unawezaje kukosa hela?,pia mi mkali unanilinganishaje na mshamba yule?!Yapo mengi majivuno kwa hiyo acheni naye ajivune si ana akili sana hadi amepata hayo yote

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sikatai kuna watu huwa wanakera, but tuchunge midomo yetu tusije tukamkufuru Mungu. Yani binadamu ukifanikiwa unaona kama wenzio wasiofanikiwa ni wajinga sijui sio wajanja
 
Yanaitwa majigambo vitu vya kawaida
Sawa na kuwasema
Watu wa Wafupi
Wanaume Wenye vibamia
Wanawake Flat screen

Hayo mambo yapo tuu
 
Hata ukifanywa nini usiingie kwenye kufuru... Mungu anaweza kuwachukua sekunde tu...na usiwapate tena
hivi alimjibu nani ? chanzo cha snapchat hiyo kurushwa ni nini?hata biblia ukiisoma vipande huweizi kuielewa.......
 
Back
Top Bottom