Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Snap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa dimond amepost katika uwanja wake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja
"Msinifananishe na virembo malaya vyenu amabavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lakini bado mimi mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu

Huu ni upagani uliovuka kiwango cha ushetani. Huyu mtu anatakiwa kupewe fundisho ili ajue Yuko Mungu Anayemiliki Mbinguni na kutawala duniani.

Kutokkuwa na Mungu kwake hakumpi uwezo wowote wa kujiweka juu ya Mungu. Anahitaji kufundishwa kwa nguvu iliyojuu ya uwezo wa binadamu ili awe mfano hai na fundisho kwa wapumbavu kama yeye.
 
08b02b1ac1b9558f33d95b33b1fc878c.jpg
huyo zari ni wakawaida Sana sema editing zinambeba sana
Sio kwa michirizi hiyo halooo
 
Nayeye asitake ku-generalize, kama Diamond kamwambia yeye ni mrembo asidhani wote tunamuona hivyo
Tuache hasira jmn ukweli lazma usemwe,anajiedit au la Zari ni mrembo sana
Panga Akina mama/dada wa watoto 4 unaowajua afu tuambie nani anaibuka kidedea,penye sifa tuzitoe wema kwa zari cha mtotoo
 
Kaona kuzaa ni dhahabu mno wakati hata paka anazaa ,ye azae tu sio lazima kila mtu azae katika dunia hii alaaa
Ila atambue kuzaa ni majariwa sawa wema Ana vijitabia vinakera lkn linapokuja kwenye suala la kuzaa mm huwa roho inaniuma wanavomuandama mdada wa watu hadi sometimes analia .. Huyo zari angekaa kimya tu lkn sio kuingiza kizazi chake ktk bifu za kijinga
 
Huu ni upagani uliovuka kiwango cha ushetani. Huyu mtu anatakiwa kupewe fundisho ili ajue Yuko Mungu Anayemiliki Mbinguni na kutawala duniani.

Kutokkuwa na Mungu kwake hakumpi uwezo wowote wa kujiweka juu ya Mungu. Anahitaji kufundishwa kwa nguvu iliyojuu ya uwezo wa binadamu ili awe mfano hai na fundisho kwa wapumbavu kama yeye.
Kweli kabisa mkuu,
 
Back
Top Bottom