Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

uzazi tunachezea wenyewe, mungu anakupa uzazi wa kutosha lakini kutwa uko maria stopes maana hujajiandaa, siku ukiamua unataka mungu nae anakubania, wale uliotupa chooni kwani hawakua watoto..!! mungu hataniwi hata siku moja. acha waisome namba wale waliotupa watoto.
NASHANGAA sana wanamtetea huyu utamu wa taifaNani alimtuma?! asimchokonoe mungu hakutumwa achokoroe mimba
 
Aku kwa wengine akizaa watoto wa2 tuu kachuja mie namuona mrembo
Hata mimi mke wangu ana watoto watatu, lakini namuona Mrembo bado, lakini siyo kwasababu mimi namuona mrembo bado ndo aende hadharani kujisifu kwamba yeye ni mrembo huwenda kuna watu wanamuona yupo chini ya wastani
 
Back
Top Bottom