Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,723
- 108,002
Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ?
Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ?
Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana.
Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira safi?