Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

Mke/mpenzi kwa dunia ya sasa unampata popote. Hao hao wa mitaan ndo hao hao walioko humu. Kuna uzi kaandika jamaa leo, alikuwa na mchumba wake baadae akagundua ni muuza nyapu mitandaoni lkn ikiwa too late, so akili ndo kitu cha msingi. Na asije akakudanganya mtu eti "bata ukimchunguza sana hutamla".
Ndio maana nawashangaa wanaume wanaotafta wachumba umu na kuna wanawake umu nao wanajifanya kutafta wachumba, na madume wanawafata pm na kuwapa details zao! Alaf mtu u najiita Great Thinker!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaasa wanaume kuwa makini. Huko ni kuji expose vibaya mno.
Infact nawafaham kama watatu hiv.. sijamaliza uchunguzi wangu ila the way walivyokuwa wanauliza maswali.. na mambo ambayo wanataka kujua. It clearly ni watu wa mjengoni.
Sitowataja majina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawawezi kuckia la kwako wakiona avatar basi pm zinakua busy, ww mtu unainanga serikali hpo hpo unajisahau unaweka bandiko la kutafta mchumba! lzma watajitokeza wachumba kibao ili wapate details zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini hawa viumbe ni moja kati ya SILAHA hatari sana kuliko hata kombola la nyukilia..Ila tutafanyaje.TUNAENDELEA KUWAPENDA ..
FB_IMG_15480894328014761.jpeg
FB_IMG_15480891235074867.jpeg
FB_IMG_15480894150892505.jpeg


#Muungwana_John
 

Attachments

  • FB_IMG_15480893785886479.jpeg
    FB_IMG_15480893785886479.jpeg
    56.9 KB · Views: 98
Mkuu hawawezi kuckia la kwako wakiona avatar basi pm zinakua busy, ww mtu unainanga serikali hpo hpo unajisahau unaweka bandiko la kutafta mchumba! lzma watajitokeza wachumba kibao ili wapate details zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mada yangu ya Mo PM yangu ilitembelewa na warembo 7,wote ID mpya na wote wakinitaka tuonane kwakuwa walivutiwa na mada zangu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144]mode of writing vilishabihiana sana

Jr[emoji769]
 
Kwenye mada yangu ya Mo PM yangu ilitembelewa na warembo 7,wote ID mpya na wote wakinitaka tuonane kwakuwa walivutiwa na mada zangu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144]mode of writing vilishabihiana sana

Jr[emoji769]
Mkuu cyo ww2 hpa jf kuna mengi sana wala cyo ya kusema lkn akili kumkichwa kuna mmoja alinifata mara nyingi sana pm lkn ckuweza kujibu ht sms moja, __choose your friends carefully your Enemies will choose you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu ya mwanamke ndio inatawala dunia ... Unaweza kubisha na kukataa katakata lakini huu ndio ukweli... Hebu turudi kwenye uumbaji wa ulimwengu kiimani
Uumbaji wa mwanzo wa binadamu ulifanyika siku ya sita baada ya vingine vyote kuumbwa.. Aliumbwa Adam... Simulizi nyingine zinasema Adam aliumbiwa msaidizi sambamba naye, huyu aliitwa LILITH... lakini hawakuwa pamoja kwa muda mrefu kwakuwa walishindwana sababu ikiwa LILITH alitaka kuwa sawa na Adam ama zaidi kwenye maamuzi nk
Baadae Adam alitafutiwa Eva/ Hawa kutoka katika mifupa ya ubavu wake... Huyu mwanamke alipaswa kumsikiliza Adam kwenye kila kitu.... Lakini kwa bahati mbaya kabisa ndio alikuja kumteketeza...
Simulizi za kiimani na kihistoria zinamtaja mwanamke kama kishawishi Kikuu kisichopingwa kwa namna yoyote ile na mwanaume... Inteligensia ya kijasusi ya enzi hizo ile ya wafilisiti ilimtumia binti mrembo Delilah kumnasa Samson mwenye nguvu za asili..
Kifo cha Abdel Nasser rais wa Misri miaka ile ya 70, kinahusishwa na mwanamke... Kwamba Nasser akiwa tayari ameshaandaa midege ya kivita 600 kwenda kuiteketeza Israel, mashushu wa Israel waligundua kuwa mmojawapo wa makamanda wa juu wa jeshi la Misri, alikuwa kamuoa binti wa Israel... Mwanamke huyu ndio alitumika kupata siri zote toka kwa mumewe ni lini na saa ngapi Misri wataishambulia Israel... Siku tarajiwa ya mashambulizi ndege zote 600 za kivita za Misri ziliteketea uwanjani kabla ya kuruka...
Nick Carter kwenye novel yake ya slave master anatufunulia siri za kijasusi za ulimwengu kuwa viongozi wakuu na marais wa mataifa muhimu duniani huwekwa na kikundi cha kijasusi cha watu maalum.. Hiki kikundi cha watu hawa maalum ndio kinaamua hatima ya dunia...

Wanafanikiwaje kwenye misheni yao hii? Wanafanyaje?
Nick carter katika simulizi yake haongelei utumwa wa kimwili ule wa kufungwa minyororo, anaongelea utumwa wa kihisia na kiakilia.... Huu ni utumwa mbaya kuliko ule wa kufungwa minyororo

Kinachotokea ni hiki
Kwa mujibu wa Carter hili kundi la watu maalum wenye kuamua hatima ya dunia ni kundi tajiri na lenye nguvu kubwa kijamii, kisiasa, kijeshi, kiusalama michezo, bishata na mahusiano ya Kimataifa.... Hili kundi wana madanguro yao first class, madanguro ya wasagaji, wasenge, ngangaripoa mpaka malaya.... Lakini hawa wote wamepitia mafunzo ya kikatili yaliyouwa hisia za upendo na kujali na wanafanya kile walichotumwa tu kufanya... No love attractions hata uwawekee dola million moja
Sasa nyakati za Nick Carter anaandika novel yake tech ilikuwa si kama leo hii... Lakini iwe ni malaya, msenge au lesbian ukitoka naye lazima akurekodi kwa matumizi ya baadae kwa maagizo ya mabosi wake
Hili kundi maalum ndio liliamua nani awe nani lini na wapi... Na lilifadhili shughuli zake za kiofisi, mtaani nyumbani, kwenye starehe na uchafu mwingine... Lakini huko kote walichukua kumbukumbu za maandishi, sauti na video

Sasa watu hawa watakupandisha mpaka wanapotaka uwe kisha wataanza kukutumia kwa maslahi yao makubwa... Kwa mfano wanakuweka kwenye post ya waziri wa ulinzi halafu wanakwambia tuna silaha nyingi kwenye stock lakini hatuna soko, hivyo unapewa jukumu la kuchonganisha mataifa ama jamii fulani ili wafarakane na kugombana... Ukikubali uko salama ukibisha wanakuletea mzigo wa picha za mnato, sauti na video za machafu yako uliyofanya...
Unapewa option mbili kubali matakwa yetu upone kataa tutoe siri.... Hiyo ndio slave master inavyofanya kazi....
Miaka miwili nyuma kulikuwa na TETESI za majasusi warembo sana wa kike wa nchi jirani kumwagwa Dodoma, Dar, Arusha na miji mingine muhimu.... Sijui walifanikiwa kiasi gani... Lakini aliyewatuma kama katumia MFUMO wa Nick Carter basi tunaishi utumwani bila hiari na bila kujijua

Jr[emoji769]
Ni novel!!!.????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ukute mtoto ndio anajua kufyonza mjulubeng wako kitandani. Kitu mnato af anakusikiliza sana na kukubembeleza mno mbona unaropoka siri zote tu yani akikohoa tu upo nyumbani.
Hawawagi na rambo au bwawa [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hapa ukute mtoto ndio anajua kufyonza mjulubeng wako kitandani. Kitu mnato af anakusikiliza sana na kukubembeleza mno mbona unaropoka siri zote tu yani akikohoa tu upo nyumbani.
Ndo maana Mc Chachandu alitoa chozi siku ile ya kumvisha pete totoz lake.. Mapenzi Upofu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Muungwana_John
 
Back
Top Bottom