Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,399
- 3,916
Membe?We ndo huelewe mambo wanachotaka marekani ni kumbomoa jiwe ndani ya ccm, labda useme Membe vs Zitto.
Pesa za misaada zitakatwa mpaka ccm mpya watachukiana.. Marekani wanataka rais awe Membe, Lissu au Zitto.
Sio mikwala walituacha tuwapelekee fedha za ndege kwanza tuishiwe watubane vizuri.Sisi si koloni la marekani ndugu walitupa Uhuru hawawezi kurudi tena wanafanya mikwara tu hawana jipya
Kick of a dying horse.CCM kila wakati na kila mahali ni kuweweseka na CHADEMA!!
Mbona mayowe kibao kulilia hela zao, si mnajifanya ni dona kantri?Sisi si koloni la marekani ndugu walitupa Uhuru hawawezi kurudi tena wanafanya mikwara tu hawana jipya
kawaulize kina January Makamba kazi gani waliifanya wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, wewe bado katoto tu!.Eti "jumuiya ya kimataifa" ndio itapiga kura, ha ha ha.
Nipe nauli kama unataka niende nikawaulize.kawaulize kina January Makamba kazi gani waliifanya wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, wewe bado katoto tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA KINA NGUVU AISEE YAANI MA CCM KILA SIKU CHADEMA CHADEMA....WALISEMA CHADEMA KIMEKUFA BAADA YA KUNUNUA MADIWANI NA WABUNGE. SASA SIJUI TATIZO LA MA CCM NINI.CCM kila wakati na kila mahali ni kuweweseka na CHADEMA!!
WEWE MPUUZI TUNipe nauli kama unataka niende nikawaulize.
wakupimwa ww sio mzimaHata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.
Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA watasambaratika yaani CHADEMA itasambaratika rasimi
Habari ya mjini kwenye Upinzani ni ZITO si Tundu Lissu tena
Jiulize Kama ZITO aliandika barua kwa siri ni nani ameiweka hadharani?
Mtu wa kwanza kuidisclose ni Polepole then how kaiweka wazi?
The deal done ACT WAZALENDO chama kikuuu cha Upinzani 2020
Kwa upepo huu wa Zito hamhitaji tena TUNDU LISU yaani ZITO ametengenezewa umaarufu wa kylazimisha na imewezekana hakuna cha Lisu wala mnyika wala CHADEMA.