JalfMoney
JF-Expert Member
- Feb 19, 2019
- 739
- 1,147
NI KWELI AISEE.... 2020 TWENDENI NA MEMBE AMA NYIE MNA ONAJE?

Lisu hakamatiki wala CHADEMA acheni porojo nyumba ya kijaniHata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.
Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA watasambaratika yaani CHADEMA itasambaratika rasimi
Habari ya mjini kwenye Upinzani ni ZITO si Tundu Lissu tena
Jiulize Kama ZITO aliandika barua kwa siri ni nani ameiweka hadharani?
Mtu wa kwanza kuidisclose ni Polepole then how kaiweka wazi?
The deal done ACT WAZALENDO chama kikuuu cha Upinzani 2020
Kwa upepo huu wa Zito hamhitaji tena TUNDU LISU yaani ZITO ametengenezewa umaarufu wa kylazimisha na imewezekana hakuna cha Lisu wala mnyika wala CHADEMA.
Waruhusu Tume Huru,ili tuone ukweli wa hizi porojo zako.Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.
Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA watasambaratika yaani CHADEMA itasambaratika rasimi
Habari ya mjini kwenye Upinzani ni ZITO si Tundu Lissu tena
Jiulize Kama ZITO aliandika barua kwa siri ni nani ameiweka hadharani?
Mtu wa kwanza kuidisclose ni Polepole then how kaiweka wazi?
The deal done ACT WAZALENDO chama kikuuu cha Upinzani 2020
Kwa upepo huu wa Zito hamhitaji tena TUNDU LISU yaani ZITO ametengenezewa umaarufu wa kylazimisha na imewezekana hakuna cha Lisu wala mnyika wala CHADEMA.
Membe wenu wenyewe huko LumumbaNI KWELI AISEE.... 2020 TWENDENI NA MEMBE AMA NYIE MNA ONAJE?
Kama ni Wewe ndo unaye gawa umaarufu inawezekana kweli Lissu kashuka umaarufu lakini kama siyo Wewe unayegawa umaarufu ni ngumu sana Lissu kushuka umaarufu, ndo maana hata Wewe umemuandika hapa sababu Lissu ni maarufuHata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.
Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA watasambaratika yaani CHADEMA itasambaratika rasimi
Habari ya mjini kwenye Upinzani ni ZITO si Tundu Lissu tena
Jiulize Kama ZITO aliandika barua kwa siri ni nani ameiweka hadharani?
Mtu wa kwanza kuidisclose ni Polepole then how kaiweka wazi?
The deal done ACT WAZALENDO chama kikuuu cha Upinzani 2020
Kwa upepo huu wa Zito hamhitaji tena TUNDU LISU yaani ZITO ametengenezewa umaarufu wa kylazimisha na imewezekana hakuna cha Lisu wala mnyika wala CHADEMA.
Unasema haya unajua kuwa wanachangia bajeti yetu? Uhuru Uanzie kwenye kuimudu bajeti yetu asilimia miamojaSisi si koloni la marekani ndugu walitupa Uhuru hawawezi kurudi tena wanafanya mikwara tu hawana jipya
Marekani ndio waliowapa uhuru?Sisi si koloni la marekani ndugu walitupa Uhuru hawawezi kurudi tena wanafanya mikwara tu hawana jipya
Kitu usichokijua ni kwamba Chadema ni Peoples.Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.