Tuambie sehemu gani nyingine, wewe ulifungua biashara yako ukakutana na mambo ya kilozi? Au ndio umefungua mbeya tu na kukutana na kimbembe? Kwa taarifa yako uchawi wa kibiashara ni janga la almost,nchi nzima. Nenda kafungue miji mingine mikubwa uje utoe ripoti hapa. Kama una imani ndogo kama punje ya aladani, utahama sana ndugu yangu. Binafsi nime experience uchawi. Unazorotesha kwa kweli.