ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

Napingana na ww Kwa 200% big 5 ya uchawi ni rukwa+katavi(ndugu moja) Tanga, shy+simiyu,kigoma na lindi
 
Kiarabu kinawatisha sana watu! Hata ukiandika happy new year kwa kiarabu na kuweka dukani basi unaanza kujenga fikra ya kurogwa!
 

Ulizingatia principles of insurance ?....kama unaamini ni washirikina,insurance ya nini wakati wame-insure biashara zao kichawi ..nahisi unadhihirisha kuwa uchawi ni bima ya kwanza kuliko bima unayoizungumzia...tatizo na wewe hyo bima hukui-insure (kichawi)...kama unavojua insurance firm nayo lazima iwe insured..hyo bima hukuiwekia BIMA
 
Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
Jina lenye utukufu hafu unaogopa hirizi na maneno ya kiarabu? Chukua choma moto huku ukimtukuza Kristo
 
Huwezi kufanikiwa kwa kiwango kikubwa bila nguvu ya kiroho. Ni aidha uchague kuwa na Yesu ambaye uchawi kwake haufui dafu au hayo mandumba. Ukiwa neutral utaumiaaa
 
Ahaha mkuu japo sijajua undani wa habari yako, lakini nilipotoka Tanga kwenda Mbeya 2011 nilijionea vitu vya ajabu sana, lakini ukifka vijiwe vyao wanasema Tanga ni kiboko, nikajarbu kulinganisha nikagundua Mbeya ni kiboko pengine kuliko hata sehem yoyote Tanzania. Waache hizo mambo ulozi sio maisha wajenge viwanda kunusuru ndizi na avocados walizojaaliwa.
 
Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
nina biashara ya maduka mikoa 6 Tanzania ikiwemo Mbeya.
biashara yangu ya Mbeya ndiyo imeshamiri zaidi na mwili wangu hauna chale hata moja wala sijui ladha ya mzizi wa mganga wa kienyeji au mchawi.

uchawi upo kichwani mwa mtu mwenyewe. umejiroga mwenyewe mkuu. jipange!
 
Hoja,zingine mfilisi, kinachowaliza wengine ni biashara na anasa, ebu tubadilike, acha Visingizio
 
siku nyingine uwe na adabu bwana mdogo ni nani alikwambia songea kuna wachawi
 
Duh makubwa haya
 
Nashangaa sana Mbeya maji yapo lakini wenyeji wachafu hata kuoga shida hawa jamaa sijui wana matatizo gani...


Ni wasafwa hao pale mbeya mjini na uchafu ni sifa yao....wanyakyusa utawakuta Kyela na Tukuyu..

Nenda Kyela ukaone watu walivyowasafi na wanavyoenda na wakati
 
Unaposema mtu watufulani ni wachawi bhc hata wewe ni mchawi,umewezaje kujua kama ni mchawi bila kumjalibu!

Acheni maneno ujue hilo ni kosa kisheria kusingizia kitu pasipo na ushahidi!!
 
Tatizo ni elimu, laiti mleta uzi usinge kimbia umande wala usinge ishi kwa hofu na mashaka namna hiyo. Kama unaona mbeya hapakufai rudi kwenu!!!! Hukuandikiwa barua ya mwaliko kuja mbeya ni kehelehele chako kilikuleta, matanga ga nnago!! Tu kwambelile kumyetu ungwe utu tukeghe maheru,?? gu twangalile fijo gwe nsigwana ugwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…