Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!kwanza kwa Tanzania ya leo miji imaechanganyikana sana,unajuaje kwamba waliokuwa wanakuroga ni Wanyakyusa?
Pili,kwa nini hujaamini aliyekuwa anakuroga ni ni Mwarabu kwa sababu ya maanishi hayo ya kiarabu?
au umetumwa kuwaaminsha watu kwamba haiwezekani mtu asiye mnyakyusa kuishi mby...rudi shule ,hiyo biashara inahitaji shule,Mkuu ulitaka ufanikiwe katika hiyo biashara na elimu yako ya darasa la 3B?,....hmmm lkn mchawi hutambuiwa na mchawi mwenzie...nawe pia ni mchawi
Weeeeeeeeeeeee acha uwongo!. Usangu nzima imejaa wanyakyusa, hadi kwenye mashamba ya mipunga n.k. Na vi ndyeki vyao!.kuwa na hakika yule si mnyakyusa na mbalali hawaishi wanyakyusa
Inasikitisha sana mtu miaka hii kuamini ushirikina kiasi hiki!!!Weeeeeeeeeeeee acha uwongo!. Usangu nzima imejaa wanyakyusa, hadi kwenye mashamba ya mipunga n.k. Na vi ndyeki vyao!.
Ushirikina upo, ulozi upo kama vila ambavyo shetani yupo. Mungu amewapa watu uhuru wa kuchagua njia ya kuiendea. Wanyakyusa wamechagua ushirikina kwa sababu za unafiki, na uonezi, ubaguzi kwa sababu za wivu na ubinafsi. Na ndiyo sababu mji wa Mbeya ungelikuwa unawatu binadamu, bila shaka ungelikuwa mbali sana kimaendeleo.Inasikitisha sana mtu miaka hii kuamini ushirikina kiasi hiki!!!
Mkuu kuna wale watu imani ya dini huwa imewajaa sana. Wanaamini wanaweza wakaomba na magonjwa yakatoka, ukimwi ukapona, wakawa matajiri, wakapata watoto, wakafufua watu, wakaponya vichaa, wakaponya vilema nk.Ushirikina upo, ulozi upo kama vila ambavyo shetani yupo. Mungu amewapa watu uhuru wa kuchagua njia ya kuiendea. Wanyakyusa wamechagua ushirikina kwa sababu za unafiki, na uonezi, ubaguzi kwa sababu za wivu na ubinafsi. Na ndiyo sababu mji wa Mbeya ungelikuwa unawatu binadamu, bila shaka ungelikuwa mbali sana kimaendeleo.
Kwa ajili ya hayo, ni kwamba watu wa Mbeya ni washirikina na usijidanganye, ushirikina huo wanatembeaga nao kila wanakoekda. Kaa nao kwa akili.
Wewe kaa nao kwa Nguvu za Mungu. Kurogwa na kuathirika na washirikina, hakuhitaji wewe uamini kwa kuwa uamini uasiamini utaona watakayokufanyyia hao vigagula.
Ila kweli wanyakyusa wana wivu balaaUshirikina upo, ulozi upo kama vila ambavyo shetani yupo. Mungu amewapa watu uhuru wa kuchagua njia ya kuiendea. Wanyakyusa wamechagua ushirikina kwa sababu za unafiki, na uonezi, ubaguzi kwa sababu za wivu na ubinafsi. Na ndiyo sababu mji wa Mbeya ungelikuwa unawatu binadamu, bila shaka ungelikuwa mbali sana kimaendeleo.
Kwa ajili ya hayo, ni kwamba watu wa Mbeya ni washirikina na usijidanganye, ushirikina huo wanatembeaga nao kila wanakoekda. Kaa nao kwa akili.
Wewe kaa nao kwa Nguvu za Mungu. Kurogwa na kuathirika na washirikina, hakuhitaji wewe uamini kwa kuwa uamini uasiamini utaona watakayokufanyyia hao vigagula.
Wacha weeeeUsikariri...wafanyabiashara wengi hapo mjini sio wanyakyusa ni wakinga..na hao ndio wenye hayo mandumbwendumwe
maneno ya kiarabu kumbe ..mm nikajua ya kinyakii [emoji23]hamna mwaisa shekhiNilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Hapo mbalali ni hatari sana. Majuzi c ndio gari ka Isamilo lilidondoka. kuna dada mmoja na mtoto wake wakafa. Kumbe kuna mu babu wa hatari?!!kuwa na hakika yule si mnyakyusa na mbalali hawaishi wanyakyusa
Mimi nilijua ni baadhi ya niliowaona. Nilikutana nao A level ni wachafu balaa, nikaja chuo nikatoka na manzi mmoja wa uko ni mchafu, wenzake wa uko ni wachafu. Nikawa naongea na manzi mmoja nilisoma nae yuko MUST akanambia ule mji mchafu balaa. Mpaka hapa huwezi badilisha mtazamo wangu, ni wachafu!Nashangaa sana Mbeya maji yapo lakini wenyeji wachafu hata kuoga shida hawa jamaa sijui wana matatizo gani...
Duh, po mbombo ngafu!Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
😂 Vipi mzee mbona una hasira nao walikupumulia niniMbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
Kumbe ndio walivyoMbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
Achana nae huyo! Ana stressUlogwe huko kwenu Nanjilinji afu uje kusingizia watu wa Mbeya ,pumbavu yaani Mbeya haikauki midomoni kwenu?
Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe hakika
Mkuu Mwanjelwa siyo eneo la wanyakyusa, ingekuwa Rungwe au Kyela sawa, hapo kuna mchanganyiko wa Wakinga, wasafwa, Wandali, Wanyiha,Wanyamwanga, wambugu, wamamalila, wasangu........hapo ni mchanganyiko wa makabila mengi sana,Wanyakyusa unawataja kwasababu ni wengi ila kwenye Biashara hapo inawezekana ulikuwa unashindana na mkinga, hao lazima ukimbie tu no wayNilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.