Dont generalise a few u met with many you hardily know and met!!!!!! True and genuine Christians wapo tena wengi tuu!!!! Nakushauri mambo ya kiroho au ya Mugu dont point fingers just leave it to God to judge!!!!
Hata hivyo hakuna mkamilifu, wote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu.
Mungu akusaidie maana hujui unenalo wala usemalo?
Laiti ungekuwa na akili ya kupembuana kuchuja nafaka
usingeandika ifimwalo like that
waitaji nikupe ushauri wa kiroho zaidi
njoo parokiani upate kutubu
umepotelea wapi wewe mkaka jamani mpaka napata walinzi humu ndani wewe umehama mji uko south Africa hivi ulishawaachia ule unga wa sembe akina matabane?