AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Mbona umejichanganya hapo kwenye bold na uko kulikobaki...
Mambo ya jiwe la gizani haya...
Hamna nilipojichanganya, ni suala la uelewa tu mkuu.
Mbona umejichanganya hapo kwenye bold na uko kulikobaki...
Mambo ya jiwe la gizani haya...
Haleluyaaah....
Kwa wale walioko Mwanza na viunga vyake karibuni kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege katika viwanja vya Furahisha kuanzia kesho tarehe 17th aug - 24th aug, 2014...
Haleluyaaah....
Kwa wale walioko Mwanza na viunga vyake karibuni kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege katika viwanja vya Furahisha kuanzia kesho tarehe 17th aug - 24th aug, 2014...
Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
kumbe walokole wanazaa kabla ya ndoaWokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
Amen
Kumbe tayari
Hopefully na cc wa dar tunakaribia
Kwani wewe mlokole??
kumbe walokole wanazaa kabla ya ndoa
kumbe pia wanawekwa kinyumba??
Inasikitisha sanakuna mdada alikua mutu wa bata zisizo na kifani full mifegi,kaolewa at 29 baada ya ku-play act sana hata hajafaidi ndoa akafariki kwa kansa ya mapafu,too bad :mvutaji:
Teamwasafi hawana lolote ni mbwembwe tu za nyuma ya keyboardHahahahaa wa humu sina hamu nao nawakumbuka kwenye Uzi mmoja hivi ukiwa critisize wanakuambia laana itakufuata wewe na kizazi chako! Ukiwauliza laana?? How? And why? Wanakujibu we subiri utaona! Halafu wana mipasho hao utadhani wanaimba taarabu mashauzi classic! teh teh
Charm is deceitful and beauty is vain,
But a woman who fears the Lord is to be praised
Hebu niulizie Nicas Mtei kama alishafika kaanani??