tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Utafanya nimuache huyu nilie nae....
Ni afadhali nioe jiwe kuliko kuoa mwanamke ambaye ni mnafiki...
Nilishatishiwa maisha na walokole. Ni baada ya kuwahoji maswali walioshindwa kuyajibu.
When you don't show up as who you are, people fall in love with who you are not. Then when they find out who you are, that's when they leave.
Maswali gani hayo? Natamani kuyajua
Aise kumbe ndo maana nkisoma hata profile za maademu wangu wa zamani ni mistari ya baibo tu.
Binadamu ni wanafiki sana hasa hao wanaojiita Walokole.....
kuna ukweli ndani yake waigizaji ni wengi sana
Samahani....., umeolewa?hehehe mimi ni over 40 Kyenju
Teh Facebook kuna walokole?Hawafui dafu kwa walokole wa jamiiforum, he he he hawakaribii hata punje....
Kumbeee!!
#but thatsnoneofmybusiness
salamu ziwaendee ma madam woooteeee waliokula dunia na wanaendela kula dunia ila facebook na mitandaoni ni full ulokole. ishi maisha yako usiwe mtumwa wa maisha ambayo huyaishi
Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over
Humu kuna walokole unawezadhani wametoka kaanani leo
Teh Facebook kuna walokole?Hawafui dafu kwa walokole wa jamiiforum, he he he hawakaribii hata punje....