Ulokole wa facebook

Ulokole wa facebook

ni hulka ya wanadamu walio wengi, akiona anakabiliwa na mambo beyond his/her control anamrudia Mungu. Hao 30+ washaona mambo yanakuwa magumu sasa wameamua wamlilie Mungu wao
 
Wokovu ni rohoni, kama wenzako wameamua kupost mambo yanayompendeza Mungu its okey na ww endelea kupost mipicha yako ya kubinua midomo na makalio pamoja na ubongo muvi mwingine, Acha wanaojitambua wamtukuze Mungu kupitia facebook. Over

Hivi nawewe ni mlokole! Maana kwa uliyoyaandika! Mh!
 
haki yake mwenye haki itakuwa juu yake na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
 
Hivi mimi huwa nashangaa....mtu kuandika mistari ya bible kwenye wall yake mwenyewe mtu mwingine anaumia nini?
 
Kama binadamu ili uweze kuendesha maisha yako siku zote hutafuta cha kuegemea. iwe fedha sawa , iwe mapenzi sawa, iwe ndoa sawa, iwe dini/imani sawa n.k.

sasa inapotokea ulichokuwa unakiegemea/belive siyo basi watu wengi hujidanganya kwa kumrudia Mungu kwa gia za ulokole wa kinafki.

Mostly inakuwaga ni sign ya frustration na extremely hardness in there life.

mwanamke mlokole huwa nastuka na :car::car::car:
 
Hata mimi uwa nawachukulia wana frustration tu...and its okay waandike wanachoandika ila wajue watu kama mimi hatusomi...

Kuna mdada alikuwa anaweka baibo kwenye meza ofisini...ila story ya maisha yake tunaijua so its okay kama inampa matumaini...
Ila mambo ya dini ni private ...na ndio pale unasikia ile ofisi ina udini...maana wakati mwingine sasa anapiga nyimbo za dini bila kutumia headphones ana assume watu wote wako kwenye mood ya kuubiriwa...

Kama binadamu ili uweze kuendesha maisha yako siku zote hutafuta cha kuegemea. iwe fedha sawa , iwe mapenzi sawa, iwe ndoa sawa, iwe dini/imani sawa n.k.

sasa inapotokea ulichokuwa unakiegemea/belive siyo basi watu wengi hujidanganya kwa kumrudia Mungu kwa gia za ulokole wa kinafki.

Mostly inakuwaga ni sign ya frustration na extremely hardness in there life.

mwanamke mlokole huwa nastuka na :car::car::car:
 
Hahahahaa wa humu sina hamu nao nawakumbuka kwenye Uzi mmoja hivi ukiwa critisize wanakuambia laana itakufuata wewe na kizazi chako! Ukiwauliza laana?? How? And why? Wanakujibu we subiri utaona! Halafu wana mipasho hao utadhani wanaimba taarabu mashauzi classic! teh teh

Umenikumbusha team ya gwajima
 
Hivi mimi huwa nashangaa....mtu kuandika mistari ya bible kwenye wall yake mwenyewe mtu mwingine anaumia nini?
Sio ulokole wa dizaini hiyo ulokole unazungumziwa hapa ni mwingine
mfano wewe khantwe useme umechoshwa na mmeo unataka kuchepuka
heeee tutakurushia maneno hadi ukomeeee
mi mwenyewe ntakusema wakati muda huo naandika nipo juu ya kifua cha mchepuko wangu na mie
 
pale unapokua unaigiza halafu unakutana na muigizaji mwenzako
hahaaaaa..nadhan ndivyo ilivyo sasa,watu wanaigiza yaani,wadada ndio wanapata shida jamani......unakumbuka line ya jize...aliuza cheni bandia,na yeye akalipwa kwa hela bandia!
 
#but thatsnoneofmybusiness
salamu ziwaendee ma madam woooteeee waliokula dunia na wanaendela kula dunia ila facebook na mitandaoni ni full ulokole. ishi maisha yako usiwe mtumwa wa maisha ambayo huyaishi
Nakushukuru kwa kutowagusa wanaume,wao ni weupe peeee.
Pia umenifungua macho mimi nilidhani watu huku ndo wanafanya uchafu kumbe huku na kwenye kitabu cha sura waswaaafi,basi poa.
 
Back
Top Bottom