Ulokole wa facebook

Ulokole wa facebook

We bhana mbona unapenda sana kuharibu soko za wenzio.... Ngoja wakukute sasa
 
kumbe huwa wanatumia gia ya ulokole ili kupata husband material.??ndio maana majanga hayaishi kwenye ndoa.fake wifez kibao.
 
Back
Top Bottom