miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Mkuu samahani unaweza kubadili hiyo picha ya mchinjaji?
utachinjwa sisi tuhame tu
Mkuu samahani unaweza kubadili hiyo picha ya mchinjaji?
Unaposema "viumbe pori" nadhani unamaanisha wanyama na mimea.swali langu ni hili 'kwanini unapovuta bangi iliyopandwa sehemu kame inakuwa ni kali kuliko iliyopandwa kwe udongo we kila mahitaji ya mmea"?
Naomba niulize swali. Je ni kweli Rhino/kifaru anakula nyama na mimea pia? Maana nimesoma somewhere wamesema ni Omnivore animal.Je ungependa kujua jambo gani kuhusu viumbe pori waliopo Tanzania na popote duniani ikiwezekana! Lengo ni kupata elimu ya maswala tata yanayohusu wanyama mwitu tukijumuisha maisha yao, tabia zao na mambo mengine mengi!
Karibu tushirikiane kujibu pale ambapo tuna elimu japo kidogo.
Kwa heshima kuu mkuu mara utakapomaliza kujibu swali la miss chagga nikuombe utuondolee utata kuhusu jinsia ya mnyama fisi,je ni kweli kuwa wote ni multisexes?pili ni je kwa hali ya kawaida mnyama kama chui anaweza kufugika? Hayo kwanza.
duh haya hayo magojwa unaweza elezea dalili zake ,cure
Swali la Capt Tamar lijibiwe
kwanini
utachinjwa sisi tuhame tu
asante sanaKwakweli ni swala pana sana linalohitaji muda mwingi sana tofauti na ninavyojitahidi kujibu maswali mengine.
Lakini bado siweki mipaka usijibiwe maana huu uwanja huru so akitokea atakayeweza kujibu atajibu tu! Asante kwa changamoto
Hahahaaa..hakuna kuchinjwa ameshabadili...tungekimbilia Rwanda kwa PK
wanyama wanaofananafanana imewahi kutokea wakajamiiana?mfano ngedere akampanda tumbiri,au chui akampanda duma??
afadahali loh.. ila mimi nipo na wewe ukihama tu nipo