a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,004
- 4,591
Yapo mafundisho ya aina mbili kuhusu UNYAKUO yanayowagawanya waumini katika makundi mawili kundi la kwanza wanaonamini UNYAKUO utatokea kabla ya DHIKI kuu huku kundi la pili wakiamini UNYAKUO utatokea katikati ya DHIKI kuu miaka Ile mitatu na NUSU iliyofupishwa kutoka miaka 7 ya DHIKI kuu.
Mimi ni ninachokiamini sasa hivi TUPO kwenye kipindi Cha NEEMA inayozuia mabaya yasitupate yaliyokusudiwa yasitupate KWA sababu ya uwepo WA WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI KWA sasa wanaoitwa kanisa,Hawa WATAKATIFU kanisa la MUNGU ndio Mungu anawaangalia sana KWA AJILI Yao hata mabaya mengi yaliyokusudiwa anayazuia .
2 Wathesalonike 2:7. Fungu hili linazungumzia siri ya kuasi au nguvu ya uasi ambayo tayari inatenda kazi ulimwenguni, lakini kuna nguvu au mtu anayeizuia kwa sasa mpaka wakati wake utakapofika wa kuondolewa.
Hapa kuna mambo makuu mawili
yanayofafanuliwa katika muktadha wa aya hiyo:
• Siri ya kuasi (uovu): Huu ni uovu au mfumo unaompinga Mungu ambao tayari upo duniani tangu wakati huo wa mitume, ukifanya kazi kwa siri au chini kwa chini.
• Mzuiaji: Biblia inataja kwamba kuna nguvu au mtu anayezuia uovu huo usizidi au usimfunue yule "mtu wa kuasi" (Mpinga Kristo) kabla ya wakati uliopangwa na Mungu. Wachambuzi wengi wa Biblia wanaamini mzuiaji huyu ni Roho Mtakatifu au Kanisa la Kristo lililojaa Roho Mtakatifu duniani.
unyakuoa utatokea muda WOWOTE KUANZIA sasa hivi kwa sababu kuu mbili
1) zile dalili zote zilizotajwa zikielezea kuanza kwa DHIKI kuu zimeshatimia
2)Yesu hataruhusu WATAKATIFU wake wapitie DHIKI kuu,kwa sababu yeye Yesu KWA NEEMA yake ndiye anayezuia hata sasa DHIKI kuu mabaya yasitupate KWA sababu ya uwepo WA WATAKATIFU (kanisa) wake humu duniani
Moja wapo ya hayo mabaya ni matumizi ya SILAHA za vita vya mabomu nyuklia,mfano katika maono ya kiroho mtakatifu Mmoja alichululiwa katika ulimwengu WA Roho akaonyeshwa SILAHA zilizofichwa kwa siri mpaka sirini katika NCHI ya Irani SILAHA za siri zilizofichwa sirini isiyofahamika na wengine Ina bomu za nyuklia za hatari sana zenye uwezo WA kuleta maafa makubwa sana KWA idadi kubwa ya watu WA DUNIA italeta maafa makubwa sana KWA sehemu kubwa ya dunia,itaua WENGI SANA.
lakini YESU alimwambia YEYE YESU hata ruhusu NCHI ya IRANI utumie hiyo SILAHA yake ya nyuklia KABLA HAJAWAONDOA WATU WAKE WATAKATIFU (KANISA)LAKE WALIOPO DUNIANI.
Hivyo Hawa walokole WALIOPO mitaani kwetu wanaposali wanatusaidia na sisi mtaani wengine tinanufaika na NEEMA YAO siku mlokole akiondoka hapo nyumba ya kupanga au kanisani au mtaani KWAKO au DUNIANI yanatupata mabaya Ile nguvu inayozuia mabaya Ile NEEMA INAONDOLEWA.
Baada ya WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI kunyakuliwa muda WOWOTE KUANZIA sasa hivi nafikiri inaweza kuwa ndani ya muda WOWOTE KUANZIA sasa hivi,japo hatujui saa Wala siku,ila ni wazi muda UMEKARIBIA sana,
WATAKAOACHWA DUNIANI watabaki wenye dhambi watupu DUNIA bila kuwepo WATAKATIFU,ndipo hapo sasa DUNIA ITAINGIA KWENYE MIAKA 3 NA NUSU ya DHIKI KUU ambayao haijawahi kuwepo tangu kuumbwa KWA DUNIA na haitatikea Tena baada yake,mana hakutakuwa na NEEMA YA KUZUIA TENA
UNYAKUO UTAKAVYOKUA
34 Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; mmoja atachukuliwa, mwingine ataachwa. 35 Wana wake wawili watakuwa wanatwanga pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” [ 36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.](hasa Ufunuo 7:9-14), ambapo mwandishi anaeleza maono ya mkusanyiko mkubwa wa watu kutoka kila taifa ambao wameshinda na kutoka katika dhiki kuu, wakiwa wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.
LAKINI PIA HATA KATIKATI YA DHIKI KUU KUNA WATAKAO KATAA KUPOKEA CHAPA YA MNYAMA
KUNA WATAKAO KATAA KUMKANA YESU NAO WATAUAWA BAADA YA KUUWAWA NAO WATAENDA PEPONI KUUNGANA NA WALE WALIONYAKULIWA.
(hasa Ufunuo 7:9-14) anaeleza maono ya mkusanyiko mkubwa wa watu kutoka kila taifa ambao wameshinda na kutoka katika dhiki kuu, wakiwa wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.
Mt 24:13
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
Hawa ni wale waliokataa kupokea CHAPA ya MNYAMA
Ufu 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
CHAPA YA MNYAMA NI IPI
Kuna mafunuo ameonyeshwa MTU WA Mungu,IPO kwa NJIA mbili
1)Micro chip..
Hapa tunaelekea kwenye MFUMO yote kusomana kwenye cashless money,one world order,digital currency,digital ID
CHAPA ndiyo itakuwezesha kununua na kuuza,bila kupokea hiyo chapa,micro chip mkonono au kwenye paji la uso,unakamatwa unateswa mateso makali sana, persecution ya wakristo na kuteswa kama mitume wa mwanzoni,wafia dini.tumeanza kuona wakristo wanauawa baadhi ya nchi,itakuwa worldwide,biblia zitapotea hata app za bible kwenye simu zitafutika kwanza simu zenyewe zitaacha kutumika hiyo chip itakuwa inakuwezesha KUPATA goods and services
2)chanjo sindano ya chanjo ya lazima kama Ile ya mRNA vaccine,ya KORONA ambayo INAKWENDA kubadilisha alter mutate DNA Yako,kwa sababu DNA Yako zile codes namba hesabu yake kwa BINADAMU wote hesabu yake namba kwa kiebrania Zina leta jina YAHWE jina la MUNGU,Yani kila mwanadamu ameumbwa ni moja WA MWENYEZI MUNGU KUANZIA kwenye vinasaba vyake kuna jina la MUNGU ndani yake.
Na hata ukisoma elimu ya FALAKI elimu ya majini, mashetwani yanakiri kila mwanadamu ameumbiwa moyo WA ibada amwabudu Mungu KIASILI ni mja WA kumcha Mungu inborn trait amezaliwa hivyo.
Ila tafiti za vinasaba vya binadamu wote ukiacha haya ma REPTILIA MANEFILI na majini upili yenye mchanganyiko WA binadamu na majini,ila binadamu wote halisi Wana vinasaba AMBAVYO codes namba zake kwa herufi za kiebrania Zina andika jina la MUNGU,Wana UUNGU NDANI YAO ndio MAANA Mungu anawaita wanadamu wote ni WATOTO WAKE Yani kila mwanadamu ana nafasi ya kusamehewa dhambi zake na KUJIONA pepo,hiyo ni inborn heritage.urithi WA asili.
sasa Ile sindano ya chanjo ya mRNA vaccine kama mfano WA Ile ya KORONA LENGO lake ni ku TARGET vinasaba DNA kubadilisha mutation ili ikuondolee sifa ya KIASILI ya kuwa mtoto WA Mungu,ili ukataliwe kuingia mbinguni UKOSE SIFA uwe automatically rejected kuingia mbinguni.
Kingine watakuja na GMO ,zote GMO na hiyo chanjo Wana inject micro compounds zitakazoweza ku alter gene katika namna ambayo itabadilisha lile jina la MUNGU lisisomeke Tena.
Nafahamu kikawaida kisayansi Biochemistry normally DNA mutations Huwa zinataokea mara bilion times ila kuna DNA repair mechanism,siongelei hiyo ya kisayansi naongelea spiritual aspect ya hiyo mRNA vaccine na GMO/GMF
Japo kuna Wanaoamini UNYAKUO utatokea baada ya dhiki kuu,yote kwa yote tuwe tayari KWA UNYAKUO,Yesu amekuwa akiwatokea watu wengine ndotoni kuwambia wawe tayari saa ya UNYAKUO UMEKARIBIA ANAKUJA kulichukua kanisa lake.