Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Baada ya kumaliza chuo miaka hiyo nilienda mkoa x sasa ikatokea tu nimekuwa urafiki na mrembo fulani na amekuja kuwa mtu maarufu kwa sasa hapa tz.
Sasa kipindi hicho ilikuwa lazima kile wikiendi tutoke out na ilikuwa ni zamu wiki hii yangu wiki inafuata yeye, alikuwa na vi-bussiness vyake kwa hivyo ela ya kula sio ishu plus wanaume walikuwa wahonga na wanajigonga hovyo hovyo na alikuwa akiniambia kabisa jinsi watu wanafunguka na mimi pia nilikuwa najishtukia naona kabisa huyu hii sio level tangu..
kipindi hicho nilikuwa namiliki mashamba ya umwagiliaji hivyo j3 mpaka ijumaa kisha narudi mjini weekend .sasa nikija mjini nakuja na kiasi kamili 50000 tu kuspend ili nibalance hesabu sasa uchumi ukajumba mvua hainyeshi hela ya kuspendi naitumia kwenye vibarua..
aisee nilimis zile out mpaka nikajiona mnyonge nikampigia ndugu yangu mmoja anikopeshe laki tano kwamba nimepata matatizo nikatumiwa chapu sababu tu dogo analalamika zamu zangu nazingua...
Nilitumia tu kama 150K kwenye hizo out kisha from no where nika-change laini na nikapotea mazima mjini nikawa siendi tena niliona huyu dogo sio level yangu acha atafute mwanaume mwenye maisha mimi bado nilikuwa napambana tulikuja kukutana arusha ila bado nilimkazia mno mpaka nikaona hatia ila basi niliona ibaki hivyo!
Pole
 
Kwani kila mtu akiagiza chakula na kinywaji elfu 80 Mara tatu hiyo nayo hela??
Ni kawaida. Tatizo ni kujua walikuwa chimbo gani. Tandahimba ukitoa 150K utaletewa ng'ombe mzima na kreti 2 moja ya bia.

Sasa mtamaliza wa kwa masaa mawili?
 
I have made a covenant with myself, never to spend money on impulse, just to prove a point to any human being. It's just absurd, crude, diabolical and bad economics....

What's there to prove, wakati najua mfuko u hali gani!!! Binafsi nafahamu even if you have all the money in the world, there will be some fools lurking somewhere ready to smack faeces on your good image.

Heri unione bahili, mchoyo au sina pesa, lakini binafsi nafurahia maisha yangu kinoma. Kuna umri ukifika baadhi ya mambo hayakuumizi sana kichwa....
NO TRUER WORDS HAVE EVER BEEN SPOKEN.
 
Ni kawaida. Tatizo ni kujua walikuwa chimbo gani. Tandahimba ukitoa 150K utaletewa ng'ombe mzima na kreti 2 moja ya bia.

Sasa mtamaliza wa kwa masaa mawili?
Kweli brother,ilikua mahala Fulani watoto wa mjini huwa wanaangalia mpira, Mimi sina hadhi ya kula Bata eneo lile,huwa naenda kuangalia mpira tu na kuagiza soda...elfu 4
 
Back
Top Bottom