Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Kuna mpangaji wetu alikuwaga na tabia hiyo sifa,pesa ya umeme ni 5000 lkn analitoa bunda la pesa anachomoa 5000 tu_tena anakuitia mlangoni kwake, au analiweka mezani uzione
Mbona story unakata kata,endelea mpaka mwisho kabisa. Siku alipokuchomolea bunda moja nini kilitokea
 
I have made a covenant with myself, never to spend money on impulse, just to prove a point to any human being. It's just absurd, crude, diabolical and bad economics....

What's there to prove, wakati najua mfuko u hali gani!!! Binafsi nafahamu even if you have all the money in the world, there will be some fools lurking somewhere ready to smack faeces on your good image.

Heri unione bahili, mchoyo au sina pesa, lakini binafsi nafurahia maisha yangu kinoma. Kuna umri ukifika baadhi ya mambo hayakuumizi sana kichwa....
Kweli kabisa, Kama kuna watu wanamdharau Mo kwamba 20b ni ndogo kwa kuwekeza simba wakati hawana uwezo wa kununua hata kadi ya uanachama.
 
Yule demu aliponipa mzigo tako tatu wadhungu hao. Nikasingizia sijala ngoja nile nimpe show za WWE John cena you can't see mee. Nikala chips ndizi mishikaki. Nikampq romance kupima oil naona huyu kashaiva nikachomeka kupiga take tatu wajapan hao. Nikaona sasa hapa mbona kazi sana. Nikaona ngoja nizuge zuge kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV. .

Alipoamka nikaona nitumie nafasi hii kumuonyesha show ya kibabe. Kupiga tako nyingine tani aisee wazee hawajakosea siku ya kufa nyani kweli miti yote huteleza. Kupiga tako nikajikaza yani kufika tako ya tano tu tena nimejikaza nikawa na uma na meno wahindi haoo. Aisee what an embarrassing day.

Kurudi kwenye mada, ili kurudisha heshima nikamuliza demu hivi unaishi wapi? Akajibu magomeni nimepanga chumba elfu 70. Nikaanza kujiongelesha hapa inabidi upange sinza chumba laki na hamsini. Nataka nikukipie kodi ya miezi kumi. Kwanza kabla sijasahau shika hii laki. Ukifika nyumbani nakutumia hela nyingine ununue vitu vya nyumbani hiyo laki ni nauli tu. Hata samsung unayotumia sio simu ya maana nakununulia iphone.

Alipoondoka na laki yangu nikatupa line nikasajili line nyingine kwa mpita njia. Huyu dada tulikutana kwenye mwendokasi. Hata mwendokasi sipandi tena nawasiwasi naweza kukutana nae huko
Why can't you stop smoking cannabis?
 
KUchomoa kila siku kwenye account?
Mjomba ulizisoma vizuri comments zao ukazielewa lakini

Walikuwa wanaelezea jinsi gani kuna card za bank fulani ukiwa nazo unaweza kuchomoa hiko kiasi kwa siku sijaona popote mtu aliposema kila siku

Sasa mfano mtu anayetakiwa kununua vitu vyenye thamani hio kwa cash unafikiri anafanyaje

By the way hata kama ingekuwa mtu anachomoa hio kila siku bado sishangai maana kuna watu kwao hiyo ni pesa ya mboga tu

Tutafute pesa tu mkuu ndugu yangu maisha hayafanani tusidhani kila mtu ni masikini kama sisi
 
Mjomba ulizisoma vizuri comments zao ukazielewa lakini

Walikuwa wanaelezea jinsi gani kuna card za bank fulani ukiwa nazo unaweza kuchomoa hiko kiasi kwa siku sijaona popote mtu aliposema kila siku

Sasa mfano mtu anayetakiwa kununua vitu vyenye thamani hio kwa cash unafikiri anafanyaje

By the way hata kama ingekuwa mtu anachomoa hio kila siku bado sishangai maana kuna watu kwao hiyo ni pesa ya mboga tu

Tutafute pesa tu mkuu ndugu yangu maisha hayafanani tusidhani kila mtu ni masikini kama sisi
Anna tibaijuka alikua anaitumia milliom 20 ya mboga kwa siku mbili..upo sahihi
 
20221230_022545.jpg
 
Kweli kabisa, Kama kuna watu wanamdharau Mo kwamba 20b ni ndogo kwa kuwekeza simba wakati hawana uwezo wa kununua hata kadi ya uanachama.
Kigwangala muhuni, kuna siku nilikutana live nikamwambia Mh. kuna shares 51% wewe umenunua ngapi?
 
Tatizo ni kwamba you will never see it coming, especially when it is done to you, your guy anakupeleka shopping spree utakataa? Vitu vingi sana wanaume wanafanya kum impress mwanamke na vingi havitok rohoni na wanajua thru that watakuwa RESPECTED NA RECOGNIZED, every man huwa anaflex akiwa na hela in one way or the other, ukiona mtu haflex kivyovyote vile ni either hela anakula mwenzako au this dude is super broke, Mwanaume huwa anapenda ajitambulishe kwa namna tatu,
1. Who he is
2.What he does
3 Na lastly how much he makes na hili la tatu ndio tatizo..Flexing ipo kwenye traits za mwanaume asije akakudanganya mtu, if your a girl jaribu kuangalia namna relatioship zako nyingi zilivyoanza ndio utaelewa nasema nini.

Nimesemea mtu anaetoa kibunda cha pesa kwa show off

Unahitaji 10,000 umeshuka kwenye gari
Unatoa bundle la 1m Ili nini?
 
i.e hakuna mtu anayepata 500k kwa jasho na damu kwa kupambana mwezi mzima akaunguza yote kwa siku moja au mbili...right??
Yeah...hata kama ataiunguza kwa siku moja au mbili lakini atafanyia kitu cha maana kama kununua furniture..Laptop au kulipa kodi nk.

Lakini pia wapo watu wa aina hiyo anapambana muda mrefu kupata pesa halafu anaichoma kwa muda mfupi sana kwenye starehe na kuishia kuwa na Majuto
 
Back
Top Bottom