Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

i use whatsapp status to read people's mind.
ni rahisi sana kutambua saikolojia ya mtu through whatsapp status.

Ukiona status ya mtu anaweka mahubiri ya kidini au vipande vya video vya worship songs, tambua yupo kwenye wakati mgumu sana, anatafuta faraja.

Ukiona status ya demu anaweka sana mipasho inayohusu mahusiano, tambua kwamba yupo kwenye mgogoro wa kimapenzi na bwanake.


Halafu tupo akina sisi ambao sio rahisi kutusoma, daily tunapost status za vibonzo na michezo hususani mpira wa miguu.
 
i use WhatsApp status to read people's mind.
ni rahisi sana kutambua saikolojia ya mtu through whatsapp status.

ukiona status ya mtu anaweka mahubiri ya kidini au vipande vya video vya worship songs, tambua yupo kwenye wakati mgumu, anatafuta faraja.

ukiona status ya demu naweka sana mipasho ya inayohusu mahusiano, tambua kwamba yupo kwenye mgogoro wa kimapenzi na bwanake.
Yaaah sure...
I do the same..
Hii iliwahi kunipa faida siku moja bhana.
 
Huu ni ukweli
i use WhatsApp status to read people's mind.
ni rahisi sana kutambua saikolojia ya mtu through whatsapp status.

ukiona status ya mtu anaweka mahubiri ya kidini au vipande vya video vya worship songs, tambua yupo kwenye wakati mgumu sana, anatafuta faraja.

ukiona status ya demu anaweka sana mipasho inayohusu mahusiano, tambua kwamba yupo kwenye mgogoro wa kimapenzi na bwanake.


halafu tupo akina sisi ambao sio rahisi kutusoma, daily tunapost status za vibonzo na michezo hususani mpira wa miguu.
 
Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki😂
 
Status kuna unafki mwingi sana.

Kuna jamaa alipost jinsi ngamia anavyotaabika baada ya kuchinjwa huku akiweka caption ya kuwa binadamu sisi ni wakatili sana na akaongeza kwa kuweka nadhiri kuwa hatokuja kula nyama tena maisha yake yote.

Kuna siku nikaenda kumtembelea nikakuta kapika ugali nyama, nikamuliza mzee vipi mbona nyama tena na ulisema hutokula tena akajibu "naachaje kula nyama aisee".

Kimoyomoyo nikasema hiii...
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom