Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Natamani JF ingekua na uwezo wa Kutuma Voice note...


Anyways huyo dada anajijua yeye mzuri sasa wewe hukua type yake wakati mpo shule akawa anacheza na monta wenu ndo alikua type yake. Kaenda UDSM keshachezewa vya kutosha type yake sio type zao sasa kaona arudishe mpira kwako kwa kua anajua ulikua unampenda at one point. Huyo akija jmoc anakuja tayari kwa kuliwa. Na ukimla tu basi hakuachi huyo. Danny Unataka kumla au hutaki? Kama unataka kumla kulipiza alivyokua anakukataa enzi za shule, hapa nakushauri kama mwanamke peleka hiyo manzi gesti/lodge tena usimfuk bila condom. Huyo sio manzi ya kula getto atakuganda sana. Piga pita hivi ikiwezekana hata kwako asipajue.... labda ana mimba anaitaftia baba. Akili kumkichwa.
Nashkuru sana ndugu yangu kwa kutumia muda wako kunishauri.
 
Huyu mwanamke mwenzie kashaeleza utangulizi. Tuttyfruity

Wanawake kuna kitu wanaita type au hadhi.

Hata siku moja mwanamke hawezi mpenda mwanaume ambaye sio type yake...

Ila atamhitaji mwanaume asiye wa type yake anapokuwa na shida... na shida yake ikiisha hamjuani.

Wa hivi hawaridhiki...ukioa utakuwa mwenyewe ndoani.
Type sio hadhi ...unaweza kuwa na hadhi ya juu kuliko mimi na usiwe type yangu
 
Huyu mwanamke mwenzie kashaeleza utangulizi. Tuttyfruity

Wanawake kuna kitu wanaita type au hadhi.

Hata siku moja mwanamke hawezi mpenda mwanaume ambaye sio type yake...

Ila atamhitaji mwanaume asiye wa type yake anapokuwa na shida... na shida yake ikiisha hamjuani.

Wa hivi hawaridhiki...ukioa utakuwa mwenyewe ndoani.
Hakika nimeelewa
 
Mzee Daniel Adrian Habari.

Kwanza hongera na pole na majukumu.
Suala lako wala sio geni masikioni mwa kila mmoja. Visa vya namna hii huwa vinatukita walio wengi. Mimi naamini kuwa maisha ni mfululizo wa machaguo, yale matokeo yake ndio maisha sasa.
Mimi ningependa kukueleza kuwa, maamuzi yako yaamriwe na hisia zako binafsi.
Haya ni maisha, sio mchezo. Suala la kuomba ushauri haimaanishi kuwa unaomba muongozo wa namna ya kufanya jambo lako binafsi, isipokuwa ni kutazama mlengo wa fikra za wengine endapo lingewakuta jambo lako.

Kuhusu Prisca, maoni ya watu hayawezi kueleza uhalisia wa lengo hisia na nia yake kwako. Watu huwa wanabadilika wanapokuwa wameingia kwenye mazingira flan tofauti yanayowapa maana walizokuwa hawazielewi vema, au sababu nyingine ya kubadilika huwa ni kukua. Hapa nazungumzia kuwa, mara nyingi wasichana wa Advance wanakuwa na zile Fantansies na shauku ya kubashiri maisha ya uhuru na mahusiano. Ila wanapomaliza masomo yao, wanakuwa wameshajua kupambanua.

Jipe upendeleo kwa kufuata moyo wako, jipe muda kuchunguza iwapo unatakiwa kunaswa na mtego huo, jipe upendeleo kujali maumivu ambayo unaweza ukayapata.

Fikia maamuzi.

(BTW, chukua pisi hiyo, ishi nayo kibaharia)
Chambilecho wahenga walisema, Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Asante sana ndugu yangu.
 
Acha ufala wewe.....

Mkubalie aje Jumamosi kisha piga vizuri.... na mfulishe nguo kabisa.

Akishaondoka kwako zima simu na umkatie mawasiliano.

Huyo hakupendi hata kidogo maisha yamempiga anajitongozesha.

Wakati wa kumwaacha kuwa makini maana maisha hayahitaji hasira.
Nimeona kufua nguo...
 
Mbona kama Wewe ni domo zege

Mkuu hili wala sio swala la kuuliza. Huyu mleta mada ana viashiria vyote vya udomo zege kama vile:
1. Yuko singo. Mwanaume unaejua kutongoza, una kazi, una hela, una pa kuishi, unaanzia wapi kuwa singo? Yaani wanawake wote waliojaa kila mahali umeshindwa kuwapata? Kweli mpaka unakuja kukutana na mwanamke mlieachana form five halafu ulivyo ukamuambia ukweli kwamba uko singo! Yaani kwanza dem atakua kakushusha thamani sana kujua upo singo.
2. Tabia ya wanaume madomo zege ni kwamba huwa hawaachi mzoga! Yeye kwake kitendo cha mwanamke kumzoea anaona kama ngekewa maana la sivyo hajui atapata wapi mwingine?
3. Mwanamke kakutana nae juzi, lakini angalia kwenye uzi huu tangu mwanzo anamtetea jinsi ambavyo hataki kumuumiza, mara akimuacha atamuelewaje, mara ataonekana mshenzi.. ata hajajua kama mwanamke kweli anamtaka au labda ni ana shida anataka kumkopa tu hela?😂😂
4. Jamaa yuko tayari kumkaribisha dem aliekutana nae juzi nyumbani kwake! We ulisikia wapi? Demu umekutana nae baada ya kupotezana miaka kibao, hujui saiz anafanya mishe gani we unamkaribishaje home? Kama ni jambazi? Au malaya anajiuza?

NB: udomo zege sio tusi, ni hali.
 
Huo ndo ukweli aise.hakuna kitu inamsumbua mwanamke kama umri umeenda,mtoto huna,hutongozwi,wala hakuna simu inayopigwa usiku ya kimapenzi zaidi ya simu za kazini na mwisho ni saa kumi jioni,na hakuna mwanaume ambae anataka kutengeneza fyucha na wewe..aise acha hiyo kitu bhana..

Mwanamke ambae Amekosa vyote hiyo na yuko sawa kabisa basi huyo ako na shida ya maana
Asante sana dada angu. Umenipa picha ya upande wa pili. Umenipa mwanga na hakika nitakwenda kufanya maamuzi nikiwa najua nnayopaswa kujua kutokana na mchango wako na wa wadau wengine.
 
Mkuu...kuwa nae msome mchunguze Kama anasifa zako zakuwa mke then decide.

Hayo Mambo sijui kaliwa Sana sijui Nini..Hizo Ni story TU..wewe kaa nae umsome umjue Tabia Yake.

Kama atakufaa kuwa mke muoe TU shida ikowapi.
 
Haya yote ni masuala ya utamaduni wa kijinga wa hizi nchi masikini za kiafrika.Nchi zilizoendelea kama sweeden,Norway,e.t.c mwanamke huwa anaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya kumpenda mtu,kwa sababu atakosa furahaa kama ataishi bila ya huyo mtu.Kwenye nchi hizo mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano akiwa na miaka hata 80 kwa sababu ndiyo muda/umri ambao maybe amepata mtu anaempenda.

Kwenye nchi zilizoendelea mtu haiingii kwenye mahusiano kwa sababu ya umri kwenda au kwa sababu ya kupata mtoto.Kuingia kwenye mahusiano kwa sababu umri umeenda au kwa sababu ya kuzaa huo ni ufala na umasikini wa akili.Maisha ni mafupi sana,kuna umuhimu wa kutanguliza furaha mbele kuliko chochote kile.
Kaka, kiasili mwanamke ni kiumbe ambae anapenda kuzaa na kulea. Kuzaa na kulea(narudia). Kama kuna jukumu lingine mwanamke ana-play katika jamii basi ni kwa sababu ya socio structure ya jamii na nafasi aliyopewa. Kumbuka, Afrika tuna maisha yanayo-diverge kidogo from nature ukilinganisha na social set-up ya nchi nyingine zilizoendelea ambazo zimefanikiwa kumuweka mwanamke katika ground sawa na mwanaume. Hivyo ku-diverge sana na natural desire ya mwanamke ya kuzaa na kulea.

Ila kuzaa na kulea ni tamaa ya kiasili ya mwanamke na hiyo ndiyo sababu hapa kwetu dada zetu wanaogopa sana wakiona umri unaenda na hawajapata watoto.
 
Ni aina, mtu akisema wewe sio type yake maana yake wewe sio aina ya mtu angependa kuwa naye....inawezekana wewe ni mcha Mungu na yeye ni kahaba, inawezekana wewe una six pack na yeye anapenda vitambi au wewe ni mtu wa kujirusha na yeye ni mtu wa kanisani n.k
Asante kwa somo.....

Na hadhi.?
 
Ushauri mzuri sana huu....

Kama bado unampenda we jmos ukipata nafasi mkaribishe msikilize you never know na haya maisha hayanaga formula so usiumize akili sana kwa jambo la kawaida kama hili.

Muhimu mpime afya maana hujui mtu kapitia wapi miaka yote hiyo.
Asante kwa kunishauri dada Lenie
 
Yale yale kijana mbichi anataka kuowa malaya!

"Hakupendi huyo, ila tu anakuja kwako kupooza machungu kwa sababu aliowataka yawezekana kagombana nao. Sasa we jiangalie wewe unampenda ama humpendi?".

Siyo maneno yangu ni maneno ya rafiki yako Kishore,hivi kwani wewe mgeni humu?huwa hukutani na mada zinazohusiana na kusisitiza sana kuowa mwanamke bikra?na huyo anayejitongozesha kwako kiasi hiko umri umeshamtupa na huko alikotoka hakuna hata aliyemwambia kwa utani nakuowa ameona bora ajiegeshe kwako na wewe unaweweseka kabisa “nataka kuowa sitaki kuchezea” umejipa muda kujiuliza wangapi wamemchezea hadi uje wewe kukokotana naye akimiliki kopo la choo cha stand katikati ya mapaja yake?

Acha undezi.....nakwambia tena acha UNDEZI!!!
Nimeelewa ulichosema kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom