Asante sana kaka. Kichwa kinaniuma sana. Ushauri wako ni wa msingi sana. Sometimes nawaza kuwa yawezekana umri unabadilisha mtazamo wa mtu. Yawezekana anatumia fikra ya kiutu uzima kutaka future na mimi.Wengi wamekushauri eiza uanchane nae au uchape usepe. Mimi nitakushauri tofauti kidogo. Hebu kwa sasa mtazame Prisca kama mtu aliyepevuka na anaejitambua. Unakosea kumlaumu mtu wa form 5 kukukataa kimapenzi!!! Huyo alikuwa mtoto jomba. Kweli wewe ulivyokuwa form 5 kiakili ndio ulivypo sasa? Na inaonekana bado unampenda Prisca, acha ligi zisizo na future, kwa sasa wote mmeshapevuka tuliza mpira. Mpe nafasi wala usichukulie maubishani ya form 5. Mpe nafasi, pimeni afya jenga familia kijana. Kweli ulinganishe maisha ya kwenda bichi komba na monita ndio yakunyime future na umpendae?
Tatizo unakichwa kidogo cha uelewa we ndo mtoto.. think twice...Punguza utoto basi
Asante kaka kwa kunishauri.Kaka ni muda Sasa wa wewe kutesaa kwa zamuuu ameshaaa tumikaaa hukooo anakujaaaa kujipoozaa kwakooo kataaa kataaa kataaa kabisaaaa ingawaaa naonaa asilimiaa 96% unataka kuingiaa kingii achaaaa mazoeaa nayeeee huo ndioo ushauriii wanguu
Mkuu endelea kumdanganya jamaa akamle then akute binti ni mtamu kunoga! Hakika komamanga la watu litanasa na likinasa likashindwa kutokana lawama zitaletwa humuhumu..😂Acha ufala wewe.....
Mkubalie aje Jumamosi kisha piga vizuri.... na mfulishe nguo kabisa.
Akishaondoka kwako zima simu na umkatie mawasiliano.
Huyo hakupendi hata kidogo maisha yamempiga anajitongozesha.
Wakati wa kumwaacha kuwa makini maana maisha hayahitaji hasira.
We shauri yakoAsante sana kaka. Kichwa kinaniuma sana. Ushauri wako ni wa msingi sana. Sometimes nawaza kuwa yawezekana umri unabadilisha mtazamo wa mtu. Yawezekana anatumia fikra ya kiutu uzima kutaka future na mimi.
Mbona yeye hakuumia kukuumiza ila mcheki huenda ashajitambuaNaogopa kumuumiza kusema ukweli.
Mwanamke wa hivyo huwezi ukaishi naye kwa amani....huyo atakuzalia hata mtoto asiye wako.Mkuu endelea kumdanganya jamaa akamle then akute binti ni mtamu kunoga! Hakika komamanga la watu litanasa na likinasa likashindwa kutokana lawama zitaletwa humuhumu..![]()
Sjawah kuona comment yako yakigaidi kama hii,Acha ufala wewe.....
Mkubalie aje Jumamosi kisha piga vizuri.... na mfulishe nguo kabisa.
Akishaondoka kwako zima simu na umkatie mawasiliano.
Huyo hakupendi hata kidogo maisha yamempiga anajitongozesha.
Wakati wa kumwaacha kuwa makini maana maisha hayahitaji hasira.
Mshauri akamle sasa sehemu nyengine si za kuhit and run! Nyengine ni za ku run tu moja kwa moja..Mwanamke wa hivyo huwezi ukaishi naye kwa amani....huyo atakuzalia hata mtoto asiye wako.
Hapana...huyo anafaa nyumbani...ili apitie machungu niliyopitia.Mshauri akamle sasa sehemu nyengine si za kuhit and run! Nyengine ni za ku run tu moja kwa moja..