cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Kuna Uzi zina mfanano JF nikichaka kikubwaSidhani, hawezi kujiandikia thread ya namna hiyo.
Ile thread sioni kama ina supporting evidences za kutosha.
Kuna Uzi zina mfanano JF nikichaka kikubwaSidhani, hawezi kujiandikia thread ya namna hiyo.
Ile thread sioni kama ina supporting evidences za kutosha.
HahahaaaNa mimi naomba!
Kuna Uzi zina mfanano JF nikichaka kikubwa
Hahahaaa
Kuna people ni attention seeker kwa kweliAnyhow, I consider him dead.
Na, motivation ya uzi wa namna hiyo ni ili iweje?
TANZIA - Member mwenzetu UMOMI afariki Dunia kwa kunywa sumuMkuu umejuaje Kama kajiua?
Definitely true.Nili chart naye Ila Alisha dhamiria, ujue kila mtu ana matatizo inategemea jinsi unavo handle
Kuna people ni attention seeker kwa kweli
Kama ulivyosema, either way the guy needed some kind of help if he is alive or not.Lakini Kuna Uzi umeanzishwa kua umomi na aliyeleta Uzi wa kifo ni mtu mmoja, eeeh licha ya hivo huyu jamaa anahitaji msaada
Kama ulivyofanya wa meja kuntaKiukweli huu msiba wa JF sina sympathy nao.
Nacheki tu hapa utaisha vipi.
I agree with youDefinitely true.
We all have problems, how you handle them depends on your mental strength.
Depression ni kitu hatari sana.
Kiukweli huu msiba wa JF sina sympathy nao.
Nacheki tu hapa utaisha vipi.


Mambo mengi yatajulikanaMimi mwenyewe ninachoona he needs help ya anayopitia, pia yaweza kuwa ni mvuta bangi imemharibu akili maana topic zake tu na anayofanya plus pombe mhhh ni janga.Kama ulivyosema, either way the guy needed some kind of help if he is alive or not.
Mimi nilisoma comments kama mbili hivi nikaona hayuko sawa kama mtafuta umaarufu au ana mawenge ya kitoto au kishule shule nikachagua kumpuuzia nikaacha kufungua thread zake kabisa, nilikuja kufungua baada ya kuona taarifa ya kifo chake.
Kama kafa kweli Mungu anisamehe huenda ningemfuatilia ningeweza kumshawishi asijidhuru.
Kama ulivyofanya wa meja kunta
haha ngoja tuone huu utakuwajeUle wa Meja nafsi ilikataa kuukubali kabisa, watu walinishukia kama mwewe.
Baadae ilikuja kuonekana ni kiki, wakaukimbia.
haha ngoja tuone huu utakuwaje
Nimeona pia kuna mchanganyiko na nimepitia thread iliyoletwa na jamaa sivani.Huu ulishachakachuliwa na ile thread, nimeipitia vizuri asubuhi hii nikiwa sober, inaonekana kuna ukakasi
Nimeona pia kuna mchanganyiko na nimepitia thread iliyoletwa na jamaa sivani.
Kumbe umomi na kigorohe ni maneno ya kikurya ,nilihuzunika baada ya kuona taarifa sasa hivi nipo tu sielewi .